Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi Sikuibuka Nusu Fainali! Hebu Anza Kuangalia Conversations Zangu Tokea Tunacheza Play-Off uone Kama Niliwahi Kumiss Jukwaa Humu.
Nimekuwa nikipita majukwaa ya timu zote na niko active, sikumbuki kukuona wakati Steve Gerrard kajikwaa na kusababisha Demba Ba kufunga lile goli.
Ila poa, roho safi wote wadau wa michezo
 
Mashabiki wote wa liverpool leo nawatakia kila la kheri lakini kumbukeni kuwa mtoto halali na pesa, analala na nepi au pampasi,tukutane saa21.45hrs kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Liverpool.
 
Hilo neno Regret Ni Maneno Ya Independent! Lakini Hanry Hakusema Maneno Hayo na Ninasimamia Kwa Usahihi Ninachokisema. Link Haimaanishi Kuwa Ni Authentic Source Wakati Interview inaoneshwa Live Wakati Inapofanywa.
Mkuu, mahaba yamekuzidi. Pole sana.
 
leo ndo ile siku timu yangu ya liverpool inaenda kufungwa na timu yangu Real Madrid
 
Nimekuwa nikipita majukwaa ya timu zote na niko active, sikumbuki kukuona wakati Steve Gerrard kajikwaa na kusababisha Demba Ba kufunga lile goli.
Ila poa, roho safi wote wadau wa michezo

Steven Gerrard Wakati Anajikwaa Mimi Nilikuwa Mshabiki Wa Liverpool Lakini Sikuwa Member Wa JF Kwani Kwa Wakati Huo Niliamini Kuwa #JF Ni Forum ya Siasa tu Wakati Mimi sio Partisan Wa Politics. Lakini Kwasasa Mimi Nipo JF mostly Kwa Sports tu.

Kwahiyo Sikuwa Sionekani Kwasababu Timu ilikuwa inafanya Vibaya! Bali nilikuwa Sionekani Kwasababu Sikuwa JF Member.

Halafu Liverpool Hile Ya Gerrard aliyoanguka ilifanya Vizuri Zaidi Kwenye PL kuliko hii ya Sasa iliyogombania Top Four mpaka Sekunde Ya Mwisho.

Na Kujiunga JF hivi Karibuni Haimaanishi Kuwa Sikuwa Mshabiki Mkongwe Wa Liverpool! Mimi Nimejiunga Na JF nikiwa Nimeshaipenda Liverpool 2 Decades.
 
countdown......7 hours away!

kutoka mitaani.....

sasa hizi niko mahali napata vitu. kuna jamaa kama 4 hivi wamekaa karibu yangu hapa najua ni wanazi wakubwa wa Manure - yaani hawana raha kabisa hadi wanatia huruma!

matarajio...

kiukweli kwa mliomsikiliza Klopp jana mtakuwa convinced kuwa hii ndoo tunabeba leo. YNWA!
 
Kubahatisha Hakuna Mipaka, Kwanini Na Nyinyi Chelsea Musibahatishe Basi Mukafika Fainali?
Au Hamukupenda Kufika Fainali?
Mkuu me nakuombea mema kabisa kwenye hii fainali.

Lakini sidhani kama utafanikiwa,

Tuko pamoja leo.
 
ndie mnaemtegemea huyo tu.kombe la sita hilo kapuni.tushaanza kusheherekea ubingwa sisi
 
countdown......7 hours away!

kutoka mitaani.....

sasa hizi niko mahali napata vitu. kuna jamaa kama 4 hivi wamekaa karibu yangu hapa najua ni wanazi wakubwa wa Manure - yaani hawana raha kabisa hadi wanatia huruma!

matarajio...

kiukweli kwa mliomsikiliza Klopp jana mtakuwa convinced kuwa hii ndoo tunabeba leo. YNWA!
sisi tushaanza kusheherekea ubingwa huku.
 
Napenda sana kuishangilia Liverpool Leo lakini tatizo sitaki kuumiza moyo wangu hapo usiku hadi asubuh,itabid tu niwe Madrid kwa kwel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom