Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Steven Gerrard Wakati Anajikwaa Mimi Nilikuwa Mshabiki Wa Liverpool Lakini Sikuwa Member Wa JF Kwani Kwa Wakati Huo Niliamini Kuwa #JF Ni Forum ya Siasa tu Wakati Mimi sio Partisan Wa Politics. Lakini Kwasasa Mimi Nipo JF mostly Kwa Sports tu.

Kwahiyo Sikuwa Sionekani Kwasababu Timu ilikuwa inafanya Vibaya! Bali nilikuwa Sionekani Kwasababu Sikuwa JF Member.

Halafu Liverpool Hile Ya Gerrard aliyoanguka ilifanya Vizuri Zaidi Kwenye PL kuliko hii ya Sasa iliyogombania Top Four mpaka Sekunde Ya Mwisho.

Na Kujiunga JF hivi Karibuni Haimaanishi Kuwa Sikuwa Mshabiki Mkongwe Wa Liverpool! Mimi Nimejiunga Na JF nikiwa Nimeshaipenda Liverpool 2 Decades.
Nimekuelewa.
 
20180526_203225.png
Hii mambo gani tena hii.
20180526_203123.png
 
Ndugu zangu majogoo...

Ndugu yenu mimi ninasumbuliwa na kaugonjwa ka presha...

Sitaweza kuuangalia huu mtanange live...

Acha nipambane na konyagi kwa wingi...

Naamini Mungu yuko upande wetu...

Inshaallah...

Bwana asifiwe sana...

Ahsanteni kwa kunisoma....

Naandika nikiwa kaunta ya juu hapa Bunju B.... mpira ukianza ntazima simu na kwenda kulala...

Naahidi tutashangilia pamoja...

Amina!
 
Rumours getting stronger that @GarethBale11 will start for Real Madrid tonight, with Benzema on bench. If so, believe that's good news for Liverpool - Real have looked worse team when Ronaldo plays alongside Bale at times this season. Questions linger about their relationship....
Hahaa G.Bale form aliyonayo kwasasa sio ya kubeza
 
Confirmed Starting Line Up Ya leo

Liverpool team:
Karius, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Milner, Wijnaldum, Mane, Salah, Firmino.

Substitutes:
Mignolet, Clyne, Klavan, Moreno, Lallana, Can, Solanke.
 
Na Kwasisi Tulio Na Experience Ya Kufunga Huwa Tunakuwa Na Nguvu Balaa Muda Huu Baada Ya Kufuturu.

Tena sisi Masikini Tunaokula Mihogo Tuna Nguvu Kiasi Hichi, Je Yeye Tajiri anaekula Msosi Wa Maana Anakuaje? 😀😀😀
Hahahah ni hatari
 
Giorgio Chiellini’s father has revealed that the Juventus defender and his extended family will be backing
Liverpool to overcome “unlikeable”
Real Madrid in the Champions League final.
 
Na wasiwasi mwingi na beki wangu Lovren, hua haaminiki labisa..

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Allez Allez Allez.....
 
Kwa Atmosphere hii Real Lazima Akakodi Washabiki Kwani Na Kutawala Kwake Kote CL Basi Anashindwa Kupata Washabiki Wengi Zaidi Ya Liverpool!!
Hapana Ubishi Liverpool ndiyo Timu Ya Watu Wa Ulaya.....

GettyImages-962707422.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom