OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Siku ya Leo sina budi kuwa upande wa Liverpool
Tupo pamoja mazee.. kombe lazma libaki Uingereza.
Tupo pamoja mazee.. kombe lazma libaki Uingereza.
Napenda sana kuishangilia Liverpool Leo lakini tatizo sitaki kuumiza moyo wangu hapo usiku hadi asubuh,itabid tu niwe Madrid kwa kwel
Naona umepima upepo haosomeki ukaona bola ubaki na hapa karibuSiku ya Leo sina budi kuwa upande wa Liverpool
Tupo pamoja mazee.. kombe lazma libaki Uingereza.
Wewe ni madrid tangu awali, tuondolee unafki wako humu.Napenda sana kuishangilia Liverpool Leo lakini tatizo sitaki kuumiza moyo wangu hapo usiku hadi asubuh,itabid tu niwe Madrid kwa kwel
Achana nae mnafki tu uyo.Umeuruka Mkojo, Umekanyaga Mavi
huyu ndeye anaongoza kwa suracmbaya kisha anafusta bundiKama liverpool watanyanyua kwapa leo nitachora tattoo ya huyu kifuani kwangu.View attachment 786741