Salah hata asipokula siku tatu kufunga goli ni lazima ila akila magoli ni elinino so ni matamanio yangu Madrid apigwe kipigo cha mbwa kokoImeshapatikana sababu, wakifungwa watasema haaya majembe yalikuwa ktk hali si nzuri, swaumu kali.

da...wewe ndugu ubishi umechanjia!Nani mmempiga 5 na 7??
Acha kunidanganya upande wa tiketi, tikets kwa michuano ya ulaya hutolewa sawa sawa kwa timu zote.
Tatizo lake anajifanya anajua kila kituNipinge kwa kuweka source yako hapa vinginevyo unaleta ushabiki tu hapa. Bbc pia ipo hiyo na ndipo nilipoiona awali.
Unapoteza muda bure unabishana na huyo anayejifanya anajua kila kitu Hahahahaha huyo kila jukwaa yupo ubishi ni sehemu yake ya maisha halafu timu anayoishabikia sasa Arsenal hahahada...wewe ndugu ubishi umechanjia!
Maribor 0 - 7 LFC
Porto 0 - 5 LFC
Man City 1 - 2 LFC
FYI tickets za neutrals kwenye UCL finals, 60% huwaga ni pro-LFC. ndiyo ukweli wenyewe!
Tatizo lake anajifanya anajua kila kitu
Unapoteza muda bure unabishana na huyo anayejifanya anajua kila kitu Hahahahaha huyo kila jukwaa yupo ubishi ni sehemu yake ya maisha halafu timu anayoishabikia sasa Arsenal hahaha
Mbona mechi na Manu aliwekwa mfukoni na Ashley Young?Salah hata asipokula siku tatu kufunga goli ni lazima ila akila magoli ni elinino so ni matamanio yangu Madrid apigwe kipigo cha mbwa koko
Kwa hiyo ulitaka niwe na id kwa ajili ya kila jukwaa kama wewe??Tatizo lake anajifanya anajua kila kitu
Unapoteza muda bure unabishana na huyo anayejifanya anajua kila kitu Hahahahaha huyo kila jukwaa yupo ubishi ni sehemu yake ya maisha halafu timu anayoishabikia sasa Arsenal hahaha
Naona sasa wewe na mwenzio mmeamua kuongelea watu!Tena ili Kujifariji Kuwa Na Yeye Timu Yake inabeba CL kaamua Kuhamia Real Madrid ili Ajisifie Amebeba Makombe 12 Manake Kwa Timu Yake Ya London Anajihisi Kukata Tamaa.
Hizo nazo timu? Hiyo ya Mancity ndio 5 na 7 zilizosemwa??da...wewe ndugu ubishi umechanjia!
Maribor 0 - 7 LFC
Porto 0 - 5 LFC
Man City 1 - 2 LFC
FYI tickets za neutrals kwenye UCL finals, 60% huwaga ni pro-LFC. ndiyo ukweli wenyewe!
Kumbe hizo sio team? Duu, jamaa unachuki na Liver kuliko hata ShetaniHizo nazo timu? Hiyo ya Mancity ndio 5 na 7 zilizosemwa??
Sina chuki, sasa Maribor nayo timu ya kiwango gani? Naiheshimu, ila ni timu inatoka ligi ya kiwango cha chini, kupigwa dozi hizo ni kitu cha kawaida.Kumbe hizo sio team? Duu, jamaa unachuki na Liver kuliko hata Shetani
Naona sasa wewe na mwenzio mmeamua kuongelea watu!
Mimi ni Gonners toka najiunga huku, sio wewe uliyeanza kuonekana humu baada ya liver kufika nusu fainali, liver fans wa damu humu nawajua, kina Malafyale! Wapo kitambo kwa shida na raha na liver yao.
Liverpool is one of the two best football clubs in Europe this year, the other being real MadridSina chuki, sasa Maribor nayo timu ya kiwango gani? Naiheshimu, ila ni timu inatoka ligi ya kiwango cha chini, kupigwa dozi hizo ni kitu cha kawaida.
Liver sio tatizo, tatizo ni watu kama King Ngwaba & Co., hivyo lazima wawekwe sehemu wanayostahili.
Guys asee Mimi Niko over excited, yani mpka natetemeka..mniombee tu saa 4 inikute salama...Naipenda Liverpool to extreme!!
Acha ujinga.
Unamfahamu mnyama the GOAT, the murderer, the killer, the UCL star, the 5 times Ballon D'or winner... Cristiano Hernandez Madeira Ronaldo!!!!
Nakupa tahadhari tu, sikutishi!!!
Mi nlijua unaandika hajawahi kumbe tayar aliweka alama aisee hawa ni washambuliaji uwe na akiba ya maneno mshambuliaji hata awe mbovu vipi usitoe maneno huwa wanaamkaga hawa utashangaa anaondoka na mpira wake mkononi.Hivi Huyu Mmorocco Mr. Mapenalty unamuwazia Aifunge Goli Liverpool?
Alishindwa Kuifunga Alipokuwa na Kiwango Chake Kamili Misimu Yote Aliyoichezea Man United na Akaishia Kuifunga Liverpool Kagoli Kamoja tu.