Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bad News!!!!!

Philippe Coutinho will receive a medal following Liverpool's Champions League final against Real Madrid in Kiev.
Anfield officials have decided that the Brazilian's contribution to the campaign should be recognised, despite the fact he left for Barcelona in a £142million move back in January.

Jurgen Klopp has always insisted he didn't bear a grudge against Coutinho for pursuing the move to Barcelona and a medal will be dispatched to Catalonia
Nimemshangaa sana mmiliki wa Liver anauliza; HIVI MCHEZAJI UNAHAMAJE LIVER? NA AKIDAI SASA HIVI SABABU YA LIVER KUINGIA FAINALI BASI SUAREZ ANAJUTA KUIACHA LIVER!
Hivi anafuatiliaga mpira kweli huyu Mr. Henry?? SERIOUSLY??
 
Wakuu mtatuupia Links za kuangalia usiku. Kesho hiyo jioni. Hili burudiko sio la kukosa hasa sisi tulio nje ya upeo wa DSTV
 
Mechi haichezewi Anfield mkuu mbele ya kops, hiyo mechi kwa Liver ni kama away mechi zingine wakati kwa Real ni home away from home!
Kesho kutwa msikimbie humu.
mkuu, kwenye UCL msimu huu tumewapiga watu makwao 5-0, 7-0, nk.

afu kwenye finals za UCL zote za Liverpool, mashabiki wa Liverpool huwaga ni wengi kuliko wapinzani....atmosphere haifikii ya Anfield lakini inakaribia!
 
Nimemshangaa sana mmiliki wa Liver anauliza; HIVI MCHEZAJI UNAHAMAJE LIVER? NA AKIDAI SASA HIVI SABABU YA LIVER KUINGIA FAINALI BASI SUAREZ ANAJUTA KUIACHA LIVER!
Hivi anafuatiliaga mpira kweli huyu Mr. Henry?? SERIOUSLY??

Kasome Tena Alichokisema! Hakuna Sehemu Aliyosema Kuwa "Liverpool Kuingia Fainali Basi Suarez Anajuta Kuiacha Liverpool".
 
mkuu, kwenye UCL msimu huu tumewapiga watu makwao 5-0, 7-0, nk.

afu kwenye finals za UCL zote za Liverpool, mashabiki wa Liverpool huwaga ni wengi kuliko wapinzani....atmosphere haifikii ya Anfield lakini inakaribia!
Nani mmempiga 5 na 7??
Acha kunidanganya upande wa tiketi, tikets kwa michuano ya ulaya hutolewa sawa sawa kwa timu zote.
 
Kasome Tena Alichokisema! Hakuna Sehemu Aliyosema Kuwa "Liverpool Kuingia Fainali Basi Suarez Anajuta Kuiacha Liverpool".
Kijana usiwe mbishi!
20180525_211522.png

LINK HII HAPA.
 
Hilo neno Regret Ni Maneno Ya Independent! Lakini Hanry Hakusema Maneno Hayo na Ninasimamia Kwa Usahihi Ninachokisema. Link Haimaanishi Kuwa Ni Authentic Source Wakati Interview inaoneshwa Live Wakati Inapofanywa.
Nipinge kwa kuweka source yako hapa vinginevyo unaleta ushabiki tu hapa. Bbc pia ipo hiyo na ndipo nilipoiona awali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom