Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Clyne na Taa Nani zaidi? binafsi namkubali Sana TAA
 
God news!
Anakuja Mane with 180K
Salah with 200K
Roma tunampiga pale pale kwake

Safi sana, Mane alistahili mshahara wa ukubwa kama huo. Najua farao nae kwa maslahi hayo hatashawishika na vilabu vikubwa, pauni laki mbili kwa wiki halafu umri 25 imekaa poa sana.

Klopp sijui ni management ya Club whatever, waliokuja na plan hiyo wamecheza kama pele na nilitarajia hilo. Forrward line trio yetu itasumbua sana muongo huu na ujao
 
Ninayoikumbuka ni ya 2007 vs AC Milani. Kama kuna nyingine mtukumbushe wadau.
Mkuu mechi hii ya 1985 ni moja ya mechi mbaya sana kukumbukwa!
Vurugu za mashabiki wa Liverpool na Juventus ktk uwanja wa Heysel-Ubelgiji ulisababisha vifo vya mashsabiki 39 wengi wao wakiwa ni mashabiki wa Italy sababu ni mashabiki wa Liverpool walio enda wanapokaa mashabiki wa Juventus kuwashambulia!
Mechi ikaendelea bila kusimamishwa hata baada ya vifo hivi uwanjani na Liverpool tukafungwa kwa penalty ya Platin dakika ya 58!Wataalam wanasema kama sio vurugu zile kutuathiri Juve angekaa!

Teams zote za Uingereza zikafungiwa kucheza mashindano yyt ya Ulaya kwa muda,Liverpool wao wakafungiwa miaka 5 hadi 1991 tulipo funguliwa!

Ni moja ya mechi mbaya kukumbukwa hapa duniani kwa wana soka!!Na ndiyo maana hata mwaka huu UEFA walikuwa na wasi wasi sana kama Juve na Liverpool watakutana.
 
Italian police: 'We can guarantee the safety of Liverpool supporters if they respect the rules'
9 hours ago kopworld.net (via BBC Sport)
0a38892a617d4628b3084e07b07ab658.jpg

Rome police have declared they will provide the safety of Liverpool supporters at the Stadio Olimpico.
• Over 5,000 Reds supporters will visit Champions League semi-final second leg in Rome.

• In order to avoid fears of possible danger, Rome police will afford almost 1,200 officersto be on duty for the match.

• Giorgio Luciani, a public order commissioner, has told BBC Sport: “We are used to managing these events. For the Rome Marathon we organised a police service of more than 1,000 people.

“For the derby between Roma and Lazio it was the same.

“We can guarantee the safety of Liverpool supporters if they respect the rules and make the day as normal as they can.

“We don’t ask for anything special, just that they respect the rules.”
 
Kila la heri kwa Reds wote, hawa wajukuu wa Kaisari wanapigwa palepale kwao....YNWA.
 
Kwenye Hii Kauli Ya Polisi Wa Kirumi "We Can Guarantee the Safety of Liverpool Supporters If they Respect The Rules"! Hawaoni Kuwa Ni Kauli Ya Kipumbavu na Haistahiki Kutolewa Na Mamlaka inayobeba dhamana ya Uslama Wa Wageni?

Je, iwaopo Washabiki Wa Liverpool Hawakuhishimu Sheria na Taratibu Ndiyo Hawastahiki Kudhaminiwa Usalama Wao? Je Wataachwa Wauliwe na Roma thugs Kisa tu Hawakuhishimu Sheria?

Hawa Warumi Wanatafuta Bifu na Scourser lakini Waendelee hivyohivyo Kubeep Mpaka Yawakute Kama Yaliyowakuta Juventus 1985.
 
Washabiki Wa Roma tutakapo Watoa Watajidai Kufanya Fujo! Lakini tutamshtua Lucas Leiva Awalete Wahuni Wa Lazio Waje Wawaweke Sawa Warumi bila Ya Sisi Kujitoa Jasho.
 
Vitu Vya Kujikinga Katika Mechi Ya leo Ni Viwili tu!

1) Injury
2) Yellow Car/Red Card

Kwani Katika Kikosi Chetu Cha Sasahivi Akipungua Mchezaji Mmoja tu Basi Fainali Ni Kizaazaa.

Jana Casemiro Kala Yellow Card ambayo Ni Ya Pili kwani Katika First Leg pia Alipewa Yellow Card, Kwahiyo Fainali Hatocheza! Lakini Real Wao Wanaviungo Wengi Wakiwemo Modric, Kroos, Kovacic na Isco! So, Casemiro Mmoja Hawezi Kuwaathiri Kihivyo.
Lakini Sisi apungue Gini tu Kwenye Finali! Basi Huenda tukatazamia Matokeo LiveScore.
 
..huo utaratibu wa yellow card unamiss final ulishafutwa unatumika kwenye group stages tu na quarter final..casemiro fainal yuko kama kawaida..ila labda mchezaji apewe redcard
 
Liverpool squad for Roma: Karius, Clyne, Van Dijk, Wijnaldum, Lovren, Milner, Firmino, Salah, Henderson, Klavan, Moreno, Mane, Lallana, Mignolet, Robertson, Ings, Solanke, Jones, Ward, Woodburn, Masterson, Camacho, Alexander-Arnold.
camacho is one for the future....
 
What the hell? I pretend I didn't hear anything from you!

It is obviously there is something wrong between Klopp and Buvac! But they try to make it calm in order not to upset the team till the end of the season.
...Arsenal wame muapproach kisiri siri kumtaka amrithi wenger
 
Tunaenda kukamilisha ratiba kuwapumzisha rasmi hao watoto wa baba paroko na pia tunaenda kuongeza idadi ya magoli ya msimu,
Ni utatu mtakatifu unaoenda kuikanyaga ardhi ya Stadio OlimPico na kuuusafisha baada ya kuwa umechafuliwa na Chelsea na Barcelona.Ninachokiona ni kwamba,jivu la mwili wa baba Shankly litatembea na miguu ya Salah,Firmino ,Mane na wenzao wote.Hakika historia inaenda kuandikwa na kutabiri kitakachotokea mjini Kyiv siku ya fainali.Nenda mwana kwenda,tangulia ulingoni na kwa hakika Liverpool wataiteka Dunia.
 
Kwenye Hii Kauli Ya Polisi Wa Kirumi "We Can Guarantee the Safety of Liverpool Supporters If they Respect The Rules"! Hawaoni Kuwa Ni Kauli Ya Kipumbavu na Haistahiki Kutolewa Na Mamlaka inayobeba dhamana ya Uslama Wa Wageni?

Je, iwaopo Washabiki Wa Liverpool Hawakuhishimu Sheria na Taratibu Ndiyo Hawastahiki Kudhaminiwa Usalama Wao? Je Wataachwa Wauliwe na Roma thugs Kisa tu Hawakuhishimu Sheria?

Hawa Warumi Wanatafuta Bifu na Scourser lakini Waendelee hivyohivyo Kubeep Mpaka Yawakute Kama Yaliyowakuta Juventus 1985.
Haina tofauti na ile ya kipigo cha mbwa koko.
 
Zeljko Buvac is a surprise contender to join the Arsenal coaching staff. Buvac’s case is believed to have been championed by Sven Mislintat, Arsenal’s head of recruitment, who worked with him at Dortmund.

Hii issue ya Buvac Kuelekea Arsenal inazidi Kupamba moto! Nahisi ina kaukweli Fulani Ndani Yake! Huyu Sven Mislintat ana ushawishi Mkubwa Sana Kuwa Buvac.
 
..huo utaratibu wa yellow card unamiss final ulishafutwa unatumika kwenye group stages tu na quarter final..casemiro fainal yuko kama kawaida..ila labda mchezaji apewe redcard

Kama Ni Hivyo Sawa Hamna tatizo
 
Kwa Sasa Hata Mtoto Wa Chekechea Anaweza Kukipanga Kikosi Cha Liverpool Kwani 100% bila ya Kukosea Hata Mchezaji Mmoja.

Kikosi Cha Leo Kitakachoanza.

Karius
TAA
Lovren
VVD
Robbo
Gini
Hendo
Milli
Salah
Bobby
Mane

Subs: ?????

Hicho Ndiyo Kikosi Chetu Cha Kwanza Ambacho Kitacheza Mchezo Wa leo Ambacho Klopp hana Choice nyengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom