mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,954
Mkuu hiyo sio ndoto ni realty liver ni bingwa hakuna wa kumzuiaLiver tukitinga fainali... we are the champions... I have a dream.
Mkuu hiyo sio ndoto ni realty liver ni bingwa hakuna wa kumzuiaLiver tukitinga fainali... we are the champions... I have a dream.
Well said brokama tutacheza kwa intensity kama ya leo, Roma tunaweza kum-Porto kwenye dimba lake mwenyewe!
well said Mkuu nimekupata vyema.....ingekua poa na sasa mashabiki wa Majogoo hapa JF tusambaziwe medal zetu hehehe..• Kwa kweli Mfumo Wetu Umeficha Kwa 100% Pengo la Coutinho na Kuondoka Kwake Kumetupa Advantage Sana Na Ndiyomana Bila Ya Yeye Tumeshinda Michezo Mengi Zaidi.
Sababu Ya Kufanya Vizuri Bila Ya Coutinho Kuliko Kuwa na Yeye.
√ Coutinho alibadilishwa na Klopp Kutoka Wide Attacking Midfielder (Left Wing) to Central attacking Midfielder. Baada Ya Kuondoka Nafasi Hiyo inachezwa Kati ya na AOC tunaposhezesha Hendo-Milner-Gini. Au inachezwa na Henderson Tunapochezesha Can-Hendo-Milner au Gini-Hendo-Milner.
Kwahiyo Anapocheza Coutinho Timu ikuwa inashambulia Kwa Kasi na Kufunga Magoli Mengi, Lakini Tulikuwa Na Udhaifu Mkubwa Katika Ukabaji Kutokana Na Coutinho Kutokuwa Na Habit ya Kusaidia Kukaba Na Ndiyomana Tulikuwa Tukiconcede Magoli Hata Matatu Kwa Mchezo Ambao Tunaongoza 3 au 4. Hii Ni Kutokana Na Coutinho Kufocus only Kwenye Kuattack and not Defending.
Lakini Mfumo Wetu Wa Sasa Unakutia Gini-Hendo-Milner Hawa Wote Hupanda Juu Kushambulia then Hurudi Chini Wote Watatu Kwa Pamoja Kuja Kukaba na Kwa Bahati Mzuri Millner Ni Mchezaji anayewin Tackles Mara Kwa Mara.
Kwahiyo Bila Ya Coutinho Tupo More powerful than with Him.
• Na Kuna Tetesi Ni Kwamba Iwapo Liverpool itashinda CL Ni Kwamba Coutinho na Yeye Atapewa Medali Kuwa Ameshinda CL kwasababu Amesajiliwa.
√ Lakini Ukweli Ni Kwamba Coutinho amesajiliwa na Liverpool Kwa ajili Ya CL ila Sheria ya UEFA wanatoa Medali 41 tu Kwa Timu na Viongozi Wake.
Sasa Liverpool imeshatimiza Hao Watu 41 Kwani Alipotoka Yeye Walibaki 40 hatimae Aliposajiliwa VVD wakatimia Wale wale 41.
Kibaya Zaidi Kwa Upande Wake Ni Kuwa Sturidge na Grujic Wametolewa Kwa Mkopo Lakini Wamesajiliwa UEFA na Hawajaondolewa Kwenye Usajili na Ndiyomana wanaweza Kuitwa Muda Wowote.
Kwahiyo Coutinho hana Medali Bali Sturridge na Grujic Watavaa Medali.
Huruma Naipeleka Kwa Origi kwani Yeye Ameondolewa Katika Usajili Kwa Kuongezwa Baadhi Ya U23.
Yaani kama uko kwenye akili yangu natamani sana game ya liver na Madrid tunataka kuinyamanyisha duniaNa Kizuri Zaidi Mashambulizi Yao Mengi Real Wanamtegemea Marcelo! Sasa Tukikutana Basi Marcelo na Aje Ashambulie Amuache Mo Salah Peke Yake aone Segere...
Na Akimkaba Mo Salah Basi Atauwa Mashambulizi na Hatimae Ronaldo Atageuka Mzururaji tu.
sasa mkuu kufika tu semifinal ni kwamba ni mastercoach....kama hutaki basiKocha ambaye hajawahi kuchukua hata champions league mnamwita master class coach
What's a recordJames Milner becomes the 1st player in UCL history to record 9 assists in a single campaign.
YapOnly two players in Champions League history has scored 2 and assisted 2 in a semi-final match:
√ Mohamed Salah
√ Roberto Firmino
Kweli mkuu salah anastahili 250+ aiseee!Lazima Liverpool tubadilishe Mfumo Wa Wages Kwa Baadhi Ya Wachezaji Kwani Ni Jambo la Aibu Kuwa Mchezaji Wa Bench Wa Manure anakula Hela Ndefu Kuliko Sadio Mane.
Mo Salah Katika New Contract Wanataka wampe £200K jambo ambalo not fair kabisa.
U23 mmoja wamliplace coutinho kijana wetu huyu naye apate medal goal zake zile 5 zina mchango mkubwa hadi kufika hapa tulipo• Kwa kweli Mfumo Wetu Umeficha Kwa 100% Pengo la Coutinho na Kuondoka Kwake Kumetupa Advantage Sana Na Ndiyomana Bila Ya Yeye Tumeshinda Michezo Mengi Zaidi.
Sababu Ya Kufanya Vizuri Bila Ya Coutinho Kuliko Kuwa na Yeye.
√ Coutinho alibadilishwa na Klopp Kutoka Wide Attacking Midfielder (Left Wing) to Central attacking Midfielder. Baada Ya Kuondoka Nafasi Hiyo inachezwa Kati ya na AOC tunaposhezesha Hendo-Milner-Gini. Au inachezwa na Henderson Tunapochezesha Can-Hendo-Milner au Gini-Hendo-Milner.
Kwahiyo Anapocheza Coutinho Timu ikuwa inashambulia Kwa Kasi na Kufunga Magoli Mengi, Lakini Tulikuwa Na Udhaifu Mkubwa Katika Ukabaji Kutokana Na Coutinho Kutokuwa Na Habit ya Kusaidia Kukaba Na Ndiyomana Tulikuwa Tukiconcede Magoli Hata Matatu Kwa Mchezo Ambao Tunaongoza 3 au 4. Hii Ni Kutokana Na Coutinho Kufocus only Kwenye Kuattack and not Defending.
Lakini Mfumo Wetu Wa Sasa Unakutia Gini-Hendo-Milner Hawa Wote Hupanda Juu Kushambulia then Hurudi Chini Wote Watatu Kwa Pamoja Kuja Kukaba na Kwa Bahati Mzuri Millner Ni Mchezaji anayewin Tackles Mara Kwa Mara.
Kwahiyo Bila Ya Coutinho Tupo More powerful than with Him.
• Na Kuna Tetesi Ni Kwamba Iwapo Liverpool itashinda CL Ni Kwamba Coutinho na Yeye Atapewa Medali Kuwa Ameshinda CL kwasababu Amesajiliwa.
√ Lakini Ukweli Ni Kwamba Coutinho amesajiliwa na Liverpool Kwa ajili Ya CL ila Sheria ya UEFA wanatoa Medali 41 tu Kwa Timu na Viongozi Wake.
Sasa Liverpool imeshatimiza Hao Watu 41 Kwani Alipotoka Yeye Walibaki 40 hatimae Aliposajiliwa VVD wakatimia Wale wale 41.
Kibaya Zaidi Kwa Upande Wake Ni Kuwa Sturidge na Grujic Wametolewa Kwa Mkopo Lakini Wamesajiliwa UEFA na Hawajaondolewa Kwenye Usajili na Ndiyomana wanaweza Kuitwa Muda Wowote.
Kwahiyo Coutinho hana Medali Bali Sturridge na Grujic Watavaa Medali.
Huruma Naipeleka Kwa Origi kwani Yeye Ameondolewa Katika Usajili Kwa Kuongezwa Baadhi Ya U23.
Hata mie natamani Madrid nikutane nae tuudhihirishie ulimwengu kuwa hatukubahatishaMkuu hii ni liver sio barca kuwa makini
Wakiamua wameamua this season hata waje Madrid kifo kipo pale pale
Biashara tushafunga Jana sie wasi wako tuPongezi zangu ni baada ya match ya marudiano wakuu
Wazee wa you will never walk alone
fainal tushawahi kupoteza ila hii hapana ndo lazima tubebeHivi Liverpool aliwahi lini kupoteza fainali nipe jibu
Kocha ambaye hajawahi kuchukua hata champions league mnamwita master class coach
Mara moja tu, 2007!Hivi Liverpool aliwahi lini kupoteza fainali nipe jibu
Kikubwa nilichogundua hawa wenzetu wanaotupinga ni husda tu baada ya kuona timu zao hazijafika hatua hii mm nawafananisha na MTU ambaye kaz yake kumsifia baba wa mwingine akifanya vizur badala ya kuelekeza nguvu ya kumshaur baba yako mjue WAP. mlipoteleza hadi kuwa hivyo na mwaka huu mtahama sana timu mlikuwa fc Porto mkaja man city Leo mpo as Roma cjui final mtakuwa timu gani lakini nachowapongeza mmeanza kuwakubali wachezaji wetu Mmoja mmoja mwisho wa siku mtaikubali timu nzima karibuni LFC na mlio wengi ni mashabik wa miaka ya 2000 hamjui historia ya Liverpool kumbuken Liverpool is among of European giant si hivyo vitimu vyenu vya karne ya 21 ndio vimeanza kuona mafanikio
Kwa hyo tumuiteje?ili ufurahKocha ambaye hajawahi kuchukua hata champions league mnamwita master class coach