Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu ni wa kuongezwa mkataba na mshahara mnono...Bobby nadhani alicheza street footbal ya Brazil maana mwanzo hadi mwisho wa ligi ni mara chache sana utaona akipotea....huyu ndie wild card ya Klopp na anamkumbali haswa...

CONFIRMED! Best News I've Heard in all fucking week.. 😀😀😀

Tayari Muda Huu Nimeshuhudia FIRMINO kaongeza Mkata Mpya Wa Muda Mrefu.
 
upload_2018-4-30_11-4-5.png
 
Buvac (msaidizi wa klopp) ameondoka klabuni hatakuwepo mpaka msimu unaisha ila haijulikani kama atarudi ama hatarudi.
Ameondoka kwa sababu binafsi, wapo wanaodai kuna mgogoro baina yake na klopp ulikuwepo.
 
jurgen-klopp-zeljko-buvac_1qud0siaton0c11fap5393krlk.jpg

Kulikuwa Kuna Tetesi Kwamba Kocha Msaidizi Wetu Zeljko Buvac Ambaye Ni Mshirika mkubwa Wa Jürgen Klopp tokea Alipoanza Kazi Ya Ukocha Kuwa Ameachana na Liverpool.

Liverpool imekanusha taarifa Hizo na Kueka Wazi Kuwa Kocha Huyo Hatakuwa na Timu Mpaka Mwisho Wa Msimu Kutokana na Personal reasons tu na Sio Kuachana na Liverpool.
 
Roberto Firmino has signed a contract worth £9m a year making him Liverpool’s highest paid player.

He has committed his peak years to Anfield. The deal, paying £180,000 a week, retains Firmino until the summer of 2023.

Kama Ni £180,000 hapa Kidogo inamake sense Coz Kutoka 100K Mpaka 180K hatua Nzuri tu! Kwani Kwa Miaka Mingi tumekua tukipigia Kelele wages za Wachezaji Wetu Kuwa Zifanyiwe Mabadiliko Kwani Haziwapi Motivation Yoyote Ya Kuipenda Timu.
Ukitajiwa Salary Ya Sadio Mane ilivyokuwa Shit huwezi Amini.
 
Roberto Firmino has signed a contract worth £9m a year making him Liverpool’s highest paid player.

He has committed his peak years to Anfield. The deal, paying £180,000 a week, retains Firmino until the summer of 2023.

Hao waandishi wa habari bwana, wakati hiyo paundi 180,000 kwa wiki huyo VvD ameanza kuchukua tangia januari halafu wanajinasibu kuwa Firmino ndio Highest paid
 
Hayo Magazeti ya #UK wanachokijua Ni Ku-exaggerate habari za Manure tu na si jengine.

Wamefumbia macho Kuwa VVD anagain £180K per week..

Na hivi sasa Mo Salah anataka Kupewa New Contract ya 200K per week.

Na Mane na Wengine Wote wanatakiwa Kufanyiwa improvement Contracts zao.
 
Nakubaliana na wewe kwamba yapaswa wamuongezee Mane walau hata 150,000 Pounds per week anastahili. Ubora wa forward sio kwenye kufunga tu, Mane kwa maoni yangu mpaka sasa yaweza kuwa ndie mchezaji mwenye mbio kuliko wote pale Liverpool na kwa maoni yangu pia Mane ndio mchezaji anaesumbua mabeki zaidi kwa dribling yake na Paces kuliko wote pale Liverpool. Nimefuatiliaga prematch interview zetu na makocha wakubwa ambapo waandishi walikuwa wanapouliza maswali kuhusiana labda tishio la Salah lakini makocha hao ambao nawakumbuka ni Guardiola na Conte walikazia kwamba wanamuogopa Mane.

Nihitimishe tu kwa kukazia kuwa Mane nae wamkumbuke kwani ni mchezaji Bora kabisa usawa wa huyo Salah na Firmino licha ya kukosa kwake magoli sana. Firmino na Salah naonelea kwamba ni bado hawajamzidi ubora Sadio Mane.
 
Sadio Mapesa ni noma, kwa maoni yangu ingefaa Mo apewe 300k, Bobby 180k, Sadio mkwanja 160k
 
Of course mzee baba, mtu mwenye skills kama Mane akawa hafikishi pauni laki moja weekly halafu kuna mtu pale Old trafford anasugua Benchi halafu anachukua 180,000 hii haileti picha nzuri
 
Mtu kama Sanchez anakula 400k ana nini cha kumzidi mane?
 
Ukiwa na hela sana some times unakuwa unafuja sana pesa. Kiukweli kimapato Man Utd ni roughly pauni 600 milioni kwa mwaka wakati sisi bado tunacheza kwenye pauni 300 milioni na kidogo kwa mwaka. So kiuwezo Man Utd wanao uwezo wa kulipa Squad nzima 200k pounds weekly wages na bado wakawa na balance sheet nzuri kabisa. So kimsingi hatufanani nao, na hatutakiwi kuwaiga sera zao za matumizi sababu uwezo wetu ni nusu ya uwezo wao.

Ila Sadio Mane anadeserve kiukweli hata 300k kwa wiki kwa kipaji alichojaaliwa , mpira ni zaidi ya magoli. Mane hafungi sana ila anapiga soka, anazisumbua safu za mabeki mpaka na anawaumiza vichwa makocha wakubwa duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom