Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa Real Madrid akili Zao Wanazijua Wenyewe 😀😀😀

Eti Waneanda Magarasa Mawili Gareth Bale na Keyla Navas Kwa ajili Ya Kubadilishana Na Mo Salah! 😀😀😀

Hivi Wanadhani Klopp Anampango na Mchezaji Mwenye Miaka 30+ ? Hivi Klopp amkatae Aubameyang Halafu amchukue Bale???

Na Klopp amtupe Kwenye Dustbin Mignolet Halafu amchukue Navas??
Yani Wasahau Kabisa Kuwa Klopp Anampango Wa Kumsajili Navas.

Na Wafahamu Kuwa Sio Bale na Navas tu! Bali Kikosi Kizima Cha Real Madrid Hakiwezi Kuikaribia Thamani Ya Salah Mmoja.
 
I was made for liverpool and liverpool was made for me. Twendeni tukakamilishe ratiba pale rome. YNWA
 
Ningekuwa kocha ningewaambia R.Madrid kuwa walete pound 400M kwa kuwatisha tamaa
 
Confirmed Liverpool's Line-Up:
Karius
Alexander-Arnold
Lovren
Van Dijk
Robertson
Henderson
Milner
Wijnaldum
Mane
Salah
Firmino.

Subs: Mignolet, Clyne, Klavan, Moreno, Ings, Solanke, Woodburn.
 
Ndani Ya Rome! Here we go.....

IMG_20180502_194822.jpg
 
Wenzetu hawakuzaliwa na choyo, wivu, roho mbaya, na vijimambo viiiiingi vya hivyo wanapenda vya kwao vikifanikiwa kuitangaza Nchi yao si Kama kina yakhe hapa wa kwetu akifanikiwa tu basi mmmh kumnanga basi ni mwenyewe mbele ya Samatta huniambii nikaipenda mpaka Gienk
 
liverpool here we go Kiev guys.....all the best of luck tonight we continue where we closed shop last match with this Roma.....in Klopp army we trust...YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom