Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Najua Timu Haichezi Vizuri lakini as long as Wachezaji Wetu Watabaki Salama (Without injury) Basi Naridhika Na Uchezaji Wao
 
Tukae tukijua Kuwa timu yetu imebakisha Wachezaji 11 tu wakupambana.

1) Karius
2) TAA
3) Lovren
4) VVD
5) Robbo
6) Hendo
7) Gini
8) Milner
9) Salah
10) Mane
11) Bobby

Waliobakia Wote Ni Scrapers ambao Hata Sab Kwenye #CL hawafai.

So, Leo Timu haina Haja Ya Kucheza Kwa Pressure au Kuforce ushindi ili wabaki salama Kwani Akipungua Mmoja tu Kati yao Basi Tumekwisha.
 
Nadhani hendo atakua hajaumia sana
 
Angalia!.
 
Tumeshatoka Kivipi Wakati Tayari Tumeshaingia? Hebu Fanya Calculations Zako Upya Halafu uangalie Answer Mtu Wa 5 ambae Ni Chelsea ana miujiza gani ya Kuingia Top Four.
Chelsea akishinda viporo vyake viwili atabakiza point tatu kuwakuta,,na hapo bado hamjacheza nae,,,,,,lakini pia spurs akishinda viporo vyake mnakuwa nafasi ya nne,,
 
Chelsea akishinda viporo vyake viwili atabakiza point tatu kuwakuta,,na hapo bado hamjacheza nae,,,,,,lakini pia spurs akishinda viporo vyake mnakuwa nafasi ya nne,,
Piga mahesabu
Screenshot_20180428-193031.jpg
 
Chelsea akishinda viporo vyake viwili atabakiza point tatu kuwakuta,,na hapo bado hamjacheza nae,,,,,,lakini pia spurs akishinda viporo vyake mnakuwa nafasi ya nne,,
Unajua kuwa liver anahitaji kushinda game moja tu kati ya mbili zilizobaki ili abakie top four, na pia kama atadroo na Chelsea anakuwa ameshaingia
 
Chelsea akishinda viporo vyake viwili atabakiza point tatu kuwakuta,,na hapo bado hamjacheza nae,,,,,,lakini pia spurs akishinda viporo vyake mnakuwa nafasi ya nne,,

Kiporo Alichonacho Chelsea Ni Kimoja tu Jaribu Kuangalia tena Calculations nilizokuambia!
Spurs Yumo Top Four hatuathiri sisi Kwa Chochote.

• Subiri Kwanza Mchezo Wa Leo Wa Chelsea umalizike ndiyo uje upige Mahesabu Yako.

• Pia Kumbuka Kuwa na Sisi Hatujamaliza Michezo! Bado tuna Michezo 2 ya Kukamilisha Ratiba.
 
Maneno Ya Kocha Wa Stoke City Paul Lambert baada Ya Kutoka Sare na Liverpool → "“I have never been beat here as a player or manager".

Lambert Ni Kocha Pekee Ambaye Hajawahi Kufungwa Na Liverpool Ndani Ya Anfield.

• Amecheza Michezo 5
√ Ameshinda 2
√ Amedraw 3
 
kuttunahitaji only 2 points kwenye mechi 2 zilizobaki kuwa top 4.
Another Disaster!
1-Gomez
2-Hendo
3-TAA
Hawa nao Wameingia Katika Janga la injury Kwenye Game ya Leo.

Source: LFC fitness latest: Trent, Henderson and Gomez
hizi game 2 (vs West Brom & vs Stoke) ni reality check kuhusu squad depth yetu.

kikosi chetu kinahitaji some serious reinforcing kwenye dirisha la summer. tunahitaji at least 4 new arrivals ambao watakuwa strong back up ya backline, midfield & strike force.

Ings, Solanke, Moreno, Matip, Klavan - hawa wote peleka sokoni!

anyways, sina mashaka na top 4 - it's achievable kwa game zilizobaki.
at the minimum tunahitaji kutoa draw mechi 2 zilizobaki.
tukipoteza 1 na kushinda 1 pia tupo vizuri kutokana na a healthy goal difference advantage (+18 above Chelsea).
 
LIVERPOOL PLAYER RATINGS vs STOKE CITY

Loris Karius 6

Didn't have anything to do in the first half. Didn't have anything to do in the second half.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom