Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,327
Endelea kupiga RAMLI tu...Umeruhusu goli mbili kwako! Umetoka tayari.
Tunza hii.
Endelea kupiga RAMLI tu...Umeruhusu goli mbili kwako! Umetoka tayari.
Tunza hii.
Hii Liverpool ya huu msimu ni MOTO uunguzao mkuu, huyo Roma tunaenda kumuunguza pale pale kwake, sisi siyo kama Barca!Mpira haupo hivyo mkuu,barca alifanywa nn
Mkuu ondoa shaka, biashara huwa ni asubuhi jioni mahesabu. Sisi kule tunaenda kumalizia mahesabu tu.Klop kaniudhi sana kumtoa Salah... dah... haya mataliano hayachelewi kutufanya yalichomfanyia Barca... too bad!
Ac roma ndio timu gani wewe? Kama hujui nyamazaYani wewe bado hujaifahamu AC Roma tu hahaha ..subiri utajuta kukutana nao.
Bado nina gemu moja na wewe. Jiandae
Barca walitolewa coz wao hawachezi JIHAD mkuu, sisi tunacheza Jihadi ya kiarabu lazima Roma akae tu apende asipende!Nahofia yasitokee yaliyoitokea Barca. Tatu bila, we are done... just like that!
Nyie wenye kocha mwenye akili mliishia hatua gani???Kocha wenu ni mpuuzi period..
Barca walitolewa coz wao hawachezi JIHAD mkuu, sisi tunacheza Jihadi ya kiarabu lazima Roma akae tu apende asipende!
...tena tutamchapa za kutosha tuRoma hawezi mzuia Salah
Roma hawezi mzuia Mane
Roma hawezi mzuia Fimo
Roma atapigwa pale pale kwao
Hoefman,Porto na Man City walipigwa kwao
Eti...???Hahaha hivi nyie Roma mnaichukulia kirahisi sana ..ngoja mpigwe nje ndani ndo akili zitakaa sawa.
Sijui mmeruhusu vipi zile 2
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
Pia Unaweza Kujiuliza 'Sijui Wameruhusu Vipi Zile 5'
Mpo vzuri..ila ndio mistakes hzo kwa fball..wishing u the best kwenye UCL finalskwanza twakutana Stoke City wekedi hii Jumamosi hio gemu ya Chelsi tutakua tushampiga Roma kusubiri fainali Keiv hivyo morale kama.ilivyo sasa itakua juu mno...Chelsink pale pale kwao wanalalaMimi Ndiye Ninaeijua Roma Kwasababu Ndiyo Timu Pekee Liverpool iliyothubutu Kumfunga Goli 5.
Roma Ni Hatari Sana Kwa Chelsea Kwasababu Alikunyoosha! Lakini Kwa Liverpool Ni Uji Kwa Mgonjwa.
Game Ya Chelsea v/s Liverpool haipo Katika Akili Zetu Kabisa! Kama Unaitaka Ni Wewe tu Tutakuachia Uje Ushinde Kwani Hatuwezi Kuwarisk Wachezaji Wetu Kwa Mechi isiyo na athari Yoyote Kwetu.