Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kusema "Acha unafiki" ni lugha mbaya si lugha ya ushabiki wa kistaarabu

Pia sijawahi kuiunderestimate liverpool tangu niifahamu kwa miaka mingi kwasababu ni hatari kwa mashambulizi yasiyokoma

Nilichomaanisha ni kwamba Liverpool inaweza kwenda kukutana na timu iliyo na wachezaji bora zaidi yaani Real Madrid.



Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha ubora hapo mkuu,kwa ulaya timu ikiweza kuvuka round ya 16 na kusonga mbele mpaka semi final kama hivi hiyo timu ni bora hata kama itakuwa na wachezaji wasio na majina wala historia yoyote.Madrid anajivunia ukubwa wa majina ya wachezaji tu hali kadhalika barca ambaye sasa anatazama mpira kwenye TV.

I have a dream.
 
Anyways mmejitahidi sana ila fainali hamtoki..[HASHTAG]#futurepost[/HASHTAG]....@wachawi na wanga.
 
Yote Tisa! Kumi Ni Kwamba Lovren ajifundishe Kucheza Mipira Ya Juu Kwa Kichwa Kwani Anatucost Mara Nyingi Sana! Lile Goli la Djeko si la Kutufunga Lakini Amemuachia Mpira na Kufunga Kiulaini Kabisa.
 
Mkuu kwanza sorry kwa kukuita mnafiki Ila Huyo Madrid unayemsema hata game1 ya semi final hajacheza na ushampa ushindi hii kisoka haijakaa sawa na kesho sio mbali mkuu sababu mm na wewe bado hatujui matokeo kwan mpira bado haujachezwa
Hakuna tatizo Mkuu, kama tutajaliwa uzima basi kesho tutakutana tena hapa muda kama huu baada ya Real Madrid kucheza na Bayern munich.

Na ikiwezekana siku ya fainali pia.



Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Babu, kikosi cha aidha Bayern munich ama Real Madrid ni hatari sana....ni ngumu kuamini kuwa mtachukua kombe mbele yao.

Kingine mistake kubwa ya kocha wenu ipo kwenye Kumake substitution.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app


Fainal unategemea Klopp atamtoa Mo Salah au Firmino? Kama unadhani Klopp atafanya Sab Hizo basi Sahau.
 
Mara kadhaa nimegundua ukiwatenganisha front three unakuwa umeua mashambulizi mpra unakuwa unachezwa zaidi katikat na nyuma yetu!
 
ninachofurahi ni, tulianza na sare mbili group stage, mkasema hatuvuki, mara tupo rouund 16 mkasema group laini na fc porto hatumtoi, mara paap round 8 mkasema porto hajui, Man city ndo katutoa hivyo, haya majibu mnayajua wenyewe, mara ikawa mancity sio level ya madrid na bayern, anyway tukapewa roma aliyemtoa barca, kala tano mmeanza sijui second leg hatuchomoi, nawaambia TUKUTANE KYIEV 16/05/18
26 mkuu
 
Kwa defense ya Madrid na kipa wao wala sina wasiwasi
Bayern kwa beki ya Hummels na Boateng ndio mdebwedo kabisa


Na Kizuri Zaidi Mashambulizi Yao Mengi Real Wanamtegemea Marcelo! Sasa Tukikutana Basi Marcelo na Aje Ashambulie Amuache Mo Salah Peke Yake aone Segere...


Na Akimkaba Mo Salah Basi Atauwa Mashambulizi na Hatimae Ronaldo Atageuka Mzururaji tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom