kwabwina
Senior Member
- May 29, 2016
- 127
- 171
Tulipopangiwa na man city mlisema tushatolewa na tulipo wapiga 3-0 mkadai watapindua matokeo kwao badala yake wakala 2-1 Leo tumeshinda 5-2 bado mnasema tushatolewa acheni unafik Liverpool msimu huu iko vizur na iona ikifika final na pengine kubeba ndoo