Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sabu Ya Salah ilikuwa ifanyike after 85min lakini Klopp alijiamini Sana.
By the way Tukutane Kiev Kwani Klopp si Mjinga Wa Kutojipanga.
in Klopp we trust, hii ni semifinal Roma wamejitahidi uwezo wao umeishia pale, hapa ni Klopp kujipanga kuwatuliza hawa Roma kwao design ileee ya Porto..
All in All game ilikua poa Mane, Lovren inabidi waongezee bidii maana sio kila wakati nafasi ya kucheza Semi hutokea....kwa upande fulani wametu cost...
Henderson leo kajitahidi mno ki ukweli hio armband ya ucaptain imekaa mahala sahihi kwa game ya leo
 
Ninachomkubali Liverpool hana cha ugenini wala nyumbani kuna watu walitabiri mapema kabisa kwamba Roma atawafunga magoli ya kutosha lkn Leo imekuwa tofauti!!!!
Naamini kabisa kilichomkuta man city ndo kitakachomkuta Roma nyumbani kwao!.klopp siyo mjinga mtamtambua vizuri siku yenyewe.

I have a dream.
Ndicho ambacho kinachonipa uhakika hata nami kwamba Liver akose kabisa goli hata kwao si rahisi na mbaya zaidi hata ugenini Liver anashinda.
 
Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisa

I have a dream.
May your dream come true...

Naombea Bayern amtoe Madrid. Sipati picha fainali Liver Vs Bayern

Naiona 2005 ikifufuka....
 
Yani wewe bado hujaifahamu AC Roma tu hahaha ..subiri utajuta kukutana nao.

Bado nina gemu moja na wewe. Jiandae

Mimi Ndiye Ninaeijua Roma Kwasababu Ndiyo Timu Pekee Liverpool iliyothubutu Kumfunga Goli 5.

Roma Ni Hatari Sana Kwa Chelsea Kwasababu Alikunyoosha! Lakini Kwa Liverpool Ni Uji Kwa Mgonjwa.

Game Ya Chelsea v/s Liverpool haipo Katika Akili Zetu Kabisa! Kama Unaitaka Ni Wewe tu Tutakuachia Uje Ushinde Kwani Hatuwezi Kuwarisk Wachezaji Wetu Kwa Mechi isiyo na athari Yoyote Kwetu.
 
Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisa

I have a dream.
Potelea mbali akose mechi ijayo lakini tuwe tumewatandika 7. Nilikuwa naamini kabisa leo Salah alikuwa aondoke na mpira wake mbele ya timu yake ya zamani.

Anyway ngoja tukeshe tukiamini...
 
Hivi Kwanini Watu Wengi Wameifanya BARCELONA Kuwa Ndiyo Reference Ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Kwa Timu Yetu? Huyu Barcelona Kaanza Lini Kuwa Role Model Wetu?

Acheni Kuifananisha Liverpool na Vitu Vya Kijinga.

Sisi Hatuangalii 2nd Leg Bali Tunachoangalia Final tutakutana nani!!!!!
 
Kocha wenu ni mpuuzi period..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom