Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukutane Kyiev tayari Liverpool tumefika wala hatuna haja ya kwenda Roma...


Tutapeleka vivuli vyetu tu.. Hivi photocopy ndio kivuli kwa kiswahili?
 
Mpira haupo hivyo mkuu,barca alifanywa nn

Hapo ndiyo Ufahamu Kuwa Liverpool itakwenda Na Tahadhari Kisijewakuta Kama Kilichomkuta Barcelona.

Halafu Barcelona sio reference ya Kila Timu ufahamu hilo.

Juventus last season alimla Barcelona 4 na yeye Kaliwa 4 na Real Kwenye Final
 
Uwepo wa salah uwanjani ..uliwazuia Roma kupanda kushambulia...hii sub imefsnyika kimakosa...ametoka na kuwapa Roma nafasi ya kwenda kushambulia
 
Sasahivi Mumeamua Kujitokeza! Lakini endeleeni Kujidanganya Kama Mulivyojidanganya Kwa Man City.

Tumeshafika Final huo ndiyo ukweli
Yani wewe bado hujaifahamu AC Roma tu hahaha ..subiri utajuta kukutana nao.

Bado nina gemu moja na wewe. Jiandae
 
Sabu Ya Salah ilikuwa ifanyike after 85min lakini Klopp alijiamini Sana.
By the way Tukutane Kiev Kwani Klopp si Mjinga Wa Kutojipanga.
Kwakweli Klop amewacost kumtoa Salah mapema, mlikuwa mshamaliza game mnasubiri final, but hizi goli 2 za away zinawapa shida kidogo mechi ya pili ingawa mna nafasi kubwa ya kupita. Anyway, Salah ni mchezaji hatari sana leo nimemkubali rasmi
 
Dah hallow ila kwao lazima tupate goli na hata kushinda tunaweza pia mana Liverpool hata kushinda ugenini ana uwezo huo, hofu ilikuwa wangepata goli 3.
 
Klop kaniudhi sana kumtoa Salah... dah... haya mataliano hayachelewi kutufanya yalichomfanyia Barca... too bad!
Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisa

I have a dream.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom