Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pongezi nyingi kwa salah!! Mwaka wake huu ajitahidi apate uefa iwe njia nzuri kuisogelea ballon d or maana najua ngumu kufika mbali world cup na mpinzan wake ronaldo hatoenda kokote na ureno yake labda andunje na argentina.
 
Nauona usiku wa firmino na mane kesho.
My prediction Liverpool 3 Roma bila
 
Liverpool are reportedly closing in on deals to sign Norwich and Fulham wonderkids Ryan Sessegnon and James Maddison.

Talented Young Scousers for bright future
 
Yani Media Zinalazimisha au Kumprovoke Mo Salah Kuwa Lazima Ahame Liverpool!
Sasahivi Zinalazimisha Kuwa Real Lazima Walete Offer Kwa Liverpool! Na Zinalazimisha Kuwa Mo Salah Lazima Akubali Offer.


Mohamed Salah has been advised by Mido to leave Liverpool on the back of his PFA Player of the Year award-winning exploits and “immediately accept any offer from Real Madrid or Barcelona”.
 
31282787_198427844279035_5052975899293515776_n.jpg
 
Vijana wamepambana sana kupata sare na WBA sababu mentality yao ni game na Roma
Kupata sare pale sio jambo baya
Roma game inaishia Anfield
Nina uhakika KYIV tunaenda!
Unaniambia niweke mzigo wa kutosha?
 
Bobby Firmino

Directly involved in 35 [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] ⚽️

[HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]

IMG_20180423_203446.png
 
Bora siku imefika Liverpool mnatoa draw kwenu anfield ,mnakuja kufa nyumbani kwa papa
 
Bora siku imefika Liverpool mnatoa draw kwenu anfield ,mnakuja kufa nyumbani kwa papa

Asubuhi yote hii badala ya kunywa hata chai unaanza kuifikiria Liverpool.. Ya kasarai mwachie kaisari..
 
Tetesi Zipo Kweli Kuwa Scouts Wa Liverpool Wanafatilia Progress ya Midfielders [HASHTAG]#Maddison[/HASHTAG] na Yule [HASHTAG]#Neves[/HASHTAG] Wa Wolverhampton.

Lakini Target Kubwa ipo Kwa Joginho na Yule Wa Real mwenye Jina gumu.
Mkuu Joginho tumeshanyang'anywa na man city deal are closing
 
Afe mtu afe mbwa.. Kazi inaishia Anfield leo, Liverpool tukitoka Anfield leo tutaelekea moja kwa moja Kyiev wakati AS Roma watakuwa wakirudi kwao Italy kuisubiri Liverpool ambayo tayari imeshafika Kyiev na haitaenda Roma.

Hapo ndio watakapojua kwanini chips haziliwi kwa kijiko.

We Are Liverpool, This Means More.

You'll Never Walk Alone.
 
Liverpool ya Mohames Salah leo watakuwa na kibarua kizito mbele ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa kwenye Uwanja wa Anfield.

Salah anatazamiwa kuongoza safu ya ushambuliaji ya Jurgen Klopp itakapocheza na timu yake ya zamani ya Roma, katika nusu fainali ya kwanza inayotazamiwa kuwa na upinzani mkali huko Anfield leo Jumanne.

Kesho, Jumatano kutakuwa na kipute kingine, ambapo vigogo Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena kumkaribisha Cristiano Ronaldo na chama lake la Real Madrid.

Itakuwa wiki kali na hakika usithubutu kupitwa. Liverpool wametinga hatua hiyo baada ya kuwasukuma nje Manchester City kwa mabao 5-1, huku ushindi wao ukichagizwa zaidi ya Mo Salah, lakini AS Roma nao si wa kubeza baada ya kupindua matokeo dhidi ya Barcelona na sasa wametinga nusu fainali.

Bayern na Real Madrid ni mechi ambacho mashabiki wamepata kushuhudia mara kadhaa zikimenyana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini safari hii mechi yao inatazamwa kwa mtazamo tofauti.

Madrid wanaamini staa wao Ronaldo ataendelea kuwavusha kwenye vizingiti vizito katika kutimiza ndoto yao ya kubeba taji hilo kwa msimu wa tatu mfululizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom