Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyinyi Ni [HASHTAG]#Refereedrid[/HASHTAG]
Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCL
Kiufupi Liverpool bado hamjakutana na magiant wa uefa
 
Our Next Season Home Kit inavyoonekana! Naona T-shirts Zimekuwa Collared!!!

3267dacdb59e872b60767b97693e27d08848ba16.jpeg
25a0794d66a1317b481dadd9b27bdce83ae9dab6.jpeg
IMG_20180419_140025.jpg

Hata Muonekano Wa New name and number style pia imependeza

thumb_62811_default_news_size_5.jpeg
 
Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCL
Kiufupi Liverpool bado hamjakutana na magiant wa uefa

Mmmoja Wa Huyo Unaemwita Giant Wa Ulaya Ni Barcelona!
Lakini Barcelona Ambaye Anatarajiwa Kuwa Bingwa Wa Kishindo Wa Spain ametolewa Na Roma.
Kwahiyo Roma Ni Mbabe Aliyemtoa Giant Wa Ulaya Kwa Aibu...

Sasa Liverpool imekutana Na Mbabe Wa Barcelona...

Je iwapo tutamtoa Mbabe Wa Barcelona bado utakuja Na Excuse nyengine?
 
Huna uwezo wa kumfunga timu iliyomtoa barca
 
Hivi timu mpaka iitwe Giant inabidi ipitie nini haswa ama iwe na vitu gani ili kuweza kuitwa Giant?
Na huo u-Giant wa timu huwa unadumu kwa muda gani mpaka ikafikia hatua timu kutolewa katika kuwa giant?
Maswali haya naomba unijibu ndugu IFRS kama hutojali..
 
Timu kubwa ulaya kufungwa na Liverpool msimu huu kwenye ucl ni man city,timu ambayo mafanikio yake makubwa ni kufika semi final ya UCL
Kiufupi Liverpool bado hamjakutana na magiant wa uefa
Liverpool yenyewe ni giant wa UEFA...au umeanza juzi juzi tu kufuatilia mpira?
Man City ni infant when it comes to UEFA.
 
Hilo nalijua sana, ila nilishangazwa na uchambuzi wa huyo bwana niliyemuuliza maswali hayo. Amesema liverpool tumemfunga giant mmoja tu wa uefa ambaye ni man city...
Kwa ninavyojua mimi man city mbele ya liverpool hafui dafu kwa chochote kile.
Ndugu yangu Gwamahala, mie mpira nimeanza kujifunza katika kombe la dunia mwaka 1998. Sio mwenyeji sana lakini sio mgeni kiivyo.
 
Hivi timu mpaka iitwe Giant inabidi ipitie nini haswa ama iwe na vitu gani ili kuweza kuitwa Giant?
Na huo u-Giant wa timu huwa unadumu kwa muda gani mpaka ikafikia hatua timu kutolewa katika kuwa giant?
Maswali haya naomba unijibu ndugu IFRS kama hutojali..

Usishuhulishwe Na Yule Jamaa! Mimi Nimemgundua Kuwa Ni Katika Wale Madogo Walioanza Kupenda Mpira mwaka 2009 Kwa Kupenda Moja Kati Ya Real au Barcelona baada Ya Kuwaona Messi Na Ronaldo Wakiamini Kuwa Messi Na Ronald Ndiyo Walioanzisha Timu Za Kubeba UEFA CL Na Kabla Ya Hapo Wanadhani Hakukuwa Na Timu iliyokuwa ikibeba UEFA CL.
 
Hilo nalijua sana, ila nilishangazwa na uchambuzi wa huyo bwana niliyemuuliza maswali hayo. Amesema liverpool tumemfunga giant mmoja tu wa uefa ambaye ni man city...
Kwa ninavyojua mimi man city mbele ya liverpool hafui dafu kwa chochote kile.
Ndugu yangu Gwamahala, mie mpira nimeanza kujifunza katika kombe la dunia mwaka 1998. Sio mwenyeji sana lakini sio mgeni kiivyo.
Pamoja sana...
 
Jamani Scousers wenzangu! Ingawa #FA hairuhusu Kusign Pre-Contract Kwa Mchezaji Kutoka Timu Moja Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] kwenda nyengine ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] lakini I'm just hearing a Rumour Kuwa Emre Can Kwenda Man United Ni Done deal Kwenye Talking.
Kuna Wanaokwenda Mbali Zaidi Wakidai Baada Ya Negotiations amegeuka Coutinho amefake injury ili kutokucheza tena Kwenye Liverpool lakini Physically yupo Fit without any fucking injury.
 
Liverpool na Man united wameanza lini kuuziana wachezaji?
 
Kuhusu hiyo transfer itakuwa ni Rumour kweli ila sio UKWELI, ila kuhusu injury ya jamaa naweza kubali kuwa kafake maana ilitokea ghafla tu baada ya kuona -ve reaction ya fans baada ya kujitapa anaenda club "Kubwa" zaidi ya Liverpool FC.
 
Mkuu Emre Can Hauzwi Bali Anaondoka Akiwa Huru Kwa Kumaliza Mkataba Summer, Na Upinzani Wa Man United Na Liverpool Hauzuii Sharia za #FA Kufuatwa..

Wakati Sheria Zinasema Mchezaji Akibakisha Mezi Sita Katika Mkataba Wake Anaweza Kufanya Mazungumzo Na Timu Yoyote anayotaka! Na Akimaliza Mkataba Anakuwa Hana Timu! Yani Si Mchezaji Wa Liverpool tena! Kwahiyo Hatuwezi Kumzuia Kwenda Anapotaka Hata Kama Man United.
 
Kuhusu hiyo transfer itakuwa ni Rumour kweli ila sio UKWELI, ila kuhusu injury ya jamaa naweza kubali kuwa kafake maana ilitokea ghafla tu baada ya kuona -ve reaction ya fans baada ya kujitapa anaenda club "Kubwa" zaidi ya Liverpool FC.

Na Utata Unajitokeza hapa!

√ Wakala Wake pamoja na yeye walianza Mazungumzo Na Juventus akafikia Mpaka Kudai Mshahara anaoutaka Na Buy out Close.

√ Lakini Ghafla Yeye na Wakala Wake Wakastopisha Mazungumzo Yote na Juventus Without any known reason.

√ Siku Chache Baadae Kwa Kujiamini Kabisa Akatangaza Wazi Kuwa Msimu Ujao Atajiunga na Timu Kubwa Zaidi ya Liverpool akimaanisha Hatoendelea Kubaki Liverpool.

√ Siku Chache Kabisa Tukasikia Kuwa Amepata injury ambayo Klopp alisema Ni Tatizo dogo tu hatochezeshwa Mechi yetu na Palace Kama Tahadhari.
Lakini Cha Ajabu Media Zikatangaza Kuwa Emre Hatachezea Tena Liverpool for the rest of the Season.

Maswali Ya Kujiuliza:

1) Kwanini asitishe Mazungumzo na Juventus ambayo yalikuwa yanaelekea ukingoni?

2) Timu pekee iliyofanya Mazungumzo na yeye Ni Juventus na Hawajakubaliana Kitu baada ya Kuwakatalia lakini isitoshe Katangaza Kuondoka Na Kuhamia Timu Kubwa kama Ni ishara ya Kuwa Kuna Timu ameshakubaliana Nayo! Ni Timu ipi hiyo?

3) Na Swala La Msingi Liverpool in Daktari Wake! Lakini Cha Ajabu Ni Mapaparazi Ndiyo Waliovujisha Kuwa Emre Atabaki nje Kwa Mechi Zote za Liverpool zilizobakia lakini Klopp na Madaktari Wa Walishndwa Kuconfirm hilo wala Kucomment chochote Kuhusu Kutopatikana Kwa Emre! Hii Ni Wazi Kuwa Ni Coutinho Style ya Kusingizia injury fake.

Huyu jamaa Ni Wazi Kuwa Kuna Timu Moja Wapo Ndani Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Man City au Man United ameshakubaliana Nayo lakini Kaamua Kukaa Kimya ili Kuavoid reactions za Mashabiki.
 
Klopp Leo Ameamua Kwapumzisha Mabeki Wetu TAA, Lovren na Robertson. Pia ameamua Kumpumzisha AOC na Bobby. Nafikiri Hii Yote Ni Kwa ajili ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG].

Team in full:
Karius
Gomez
Klavan
Van Dijk
Moreno
Milner
Henderson
Wijnaldum
Mane
Salah
Ings

Subs: Mignolet, Lovren, Firmino, Oxlade-Chamberlain, Robertson, Solanke, Alexander-Arnold.

IMG_20180421_134448.jpg
 
Jamani Scousers wenzangu! Ingawa #FA hairuhusu Kusign Pre-Contract Kwa Mchezaji Kutoka Timu Moja Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] kwenda nyengine ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] lakini I'm just hearing a Rumour Kuwa Emre Can Kwenda Man United Ni Done deal Kwenye Talking.
Kuna Wanaokwenda Mbali Zaidi Wakidai Baada Ya Negotiations amegeuka Coutinho amefake injury ili kutokucheza tena Kwenye Liverpool lakini Physically yupo Fit without any fucking injury.
Alaanike kwa roho isio nsio shukran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom