Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha loooh kuwa secret koppite hapana!! Haitotokea Ed n Edd nEddy eti inawezekana kweli? But we share the same colour, Red huwa haidanganyi so kwenye mambo ya kizalendo namna hii inatakiwa kuwa mzalendo 😀 😀
uzalendo Kwanza! Amen

Transfer ya man u kuwa kop ni ngumu pitia hata Watford kwanza tukusahau mtani

Ila ile jezi ya Firminho (the white teeth man) bado unaivaa?
 
Tunawakaribisha wapinzani wetu wote ndani ya dakika chache zijazo mje muone mfumo mpya..


Kila mechi tunayocheza tunaingia na mfumo mpyanna ndio maana tunawatandika kila uchwao. Karibu
 
Confirmed LFC starting line-up v Bournemouth

Karius
Alexander-Arnold
Van Dijk
Lovren
Robertson
Henderson
Wijnaldum
Oxlade-Chamberlain
Mane
Salah
Firmino


Substitutes:
Mignolet, Milner, Klavan, Moreno, Ings, Solanke, Woodburn.
 
Huyu refa akili zake kama zile za Mou, kamtoa Mane kaweka beki, moto unawawakia sasa.
 
Hongereni ushindi mnono huu, Bou wamepeleka shambulizi lao la maana kuanzia dakika ya 84, mliwashika sana, lakini sijui inakuwaje wafungaji ni hawa watatu tu siku zote.
 
IMG_2536.JPG
 
Hongereni ushindi mnono huu, Bou wamepeleka shambulizi lao la maana kuanzia dakika ya 84, mliwashika sana, lakini sijui inakuwaje wafungaji ni hawa watatu tu siku zote.


Ndiyo Jukumu lao! Au Ulitaka Awe anatufungia Kipa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom