Kiongozi.Kwani Klopp kawatendeneza akina nani Liverpool? Unapocoment za wengine jiangalie kwanza wewe
Kuendeleza! kukuza! wapi na wapi?Kiongozi.
Umeshindwa kunielewa.
Nimeweka mambo Matatu ambayo ni,
Kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI.
Sifa hizo tatu nilizozitaja, JOSE hana hata sifa moja hapo
We always make historyOnly one club has won against a side managed by Pep Guardiola three times in a single season...
NANI ANABISHA?
That club is Liverpool
Karibu tena kwenye show za Liverpool...European Giant.hivi kuna mchezaji wa liva wa sasa mwenye medali hata ya olimpiki...
Nadhani uliangalia mpira ndugu yangu wa Arsenal.ngoj upeleke ngoko zako huko zitakavyofanywa...
Tunaendelea kubebwa tena 2018...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mlibebwa 2005
Kiongozi.Kuendeleza! kukuza! wapi na wapi?
Salah katengenezwa Chelsea kakulia Roma, Sadio Mane Southampton kaja Liverpool kashekomaa, Oxlade-Chamberlain kaibukia Southampton na kukulia Arsenal, Roberto Firmino katengenezwa na Hoffenheim ya bundesliga kabla ya kuja Liverpool. Timu inayosifika kwa kuwatengeneza wachezaji ni Arsenal tu na hizi timu ndogo ndogo, hizi timu kubwa ni buyers wa ready-made players tu wacha kumuonea Jose bure.
Pep kawanunua wengi ready made ndio maana mwaka huu mambo imemnyookea, Conte kanyimwa mshiko wa kuingia dukani na kidogo alichopewa kashindwa kununua waliokomaa ona matokeo ovyo kabisa, Wenga na kubana kwake matumizi kwa kutengeneza vipaji kila mwaka kombe analisikia redioni.
Barca na RM timu zinazoongoza kwa kununua wachezaji waliotengenezwa ona matokeo yao yalivyo mazuri.
Siku Liverpool ikijikita kutenegenza na kuendeleza internal youngster itakuwa kama Arsenal au hizo timu ndogondogo kama akina Sounhamtom na everton an wengineo ambao wao wakishatengeneza wanaume wenye mshiko wanachukua na kuwatumia kubeba makombe
@ROBERTO 20we uropa si wanakunyesheaga mvua...
Labda uefa inatengenezewa miti ndo mtabeba....
Kazi iliyofanyika si ndogoKops Leo ni usingizi mnono kwa sana
Good prediction...Mkuu kuna Goli 2, moja la Firminyo na lingine la mwafrika yeyote [emoji13]
Dotmund yotee !Kwani Klopp kawatengeneza akina nani Liverpool? Unapo coment za wengine jiangalie kwanza wewe
the future Red King...Wakuu Tukiangalia Nje Ya Champion League Basi Yule Dogo Wetu H. Wilson na leo Katupia Kamoja... Yule Dogo ananuka Nyavu balaa Kuliko Mvuvi Wa Sangara.
na murinyo alitaka kuishusha Chelsink.....tunaishi kwa leo sio yaliyopita....in Klopp weTrustMafala wa Liverpool mmepumbazwa na matokeo mmesahau Klopp alitaka kuishusha daraja Dortmund[emoji13] [emoji13]
Coutinho sasa semi final atulie na pop corn aangalie tunavyosonga mbele....Nilikuwa Naangalia Game pamoja Na Mshabiki Mmoja Wa Barcelona Basi amenilalamikia Kuwa Tumewapiga Tulipowauzia Coutinho na Kawa sivyo Walivyofikiria atakuwa. 😀😀
Klopp is the best coach, hakuna anayekataa, lakini ubest wake hautofautiani na jose, pep, zidane, na wengineo. Anayejua kwenda sokoni kufanya shopping nzuri ndiye mwisho wa siku anaishia kuwa na timu nzuriKiongozi.
Naona Mimi na Wewe tunashindwa kuelewana padogo sana.
Hapa kwenye Burudani ya Michezo tukianza kubishana POZI itakuwa hakuna.
Kilichobaki tuendelee kumpongeza KLOPP.
Kiongozi,
Najua fika wewe mwenyewe nafsini mwako unakubali ya kuwa KLOPP ni Mwalimu Mzuri na anao Uwezo wa kutengeneza/kuendeleza/kukuza VIPAJI.
Hebu tumpongeze KLOPP kwa kazi nzuri anayoifanya