Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Video: Mcheki Klopp Anavyomsanifu Guardiola Baada Ya Mchezo Kule Kule Jukwaani Alipo.. 😀 😀😀😀😀😀

 
Mkuu klopp ni master class, game yetu leo ilikuwa underpressure sana.lakini tumeondoka na ushindi kwa taabu hivyo hivyo,klopp bonge la kocha hii ngopa tunabeba msimu huu.in klopp we trust
Nimekubali Kiongozi.

Ngoma ilikuwa ngumu sana, mbaya zaidi umeshatanguliwa Ugenini.

Halafu Mpinzani wako anakuchezea nusu UWANJA kwenye hatua kama ile ya Mtoano.

Kwa kweli wanastahili Pongezi.

Si umeona BARCA wameshindwa kubadilisha Matokeo ROMA
 
Offside is one of the laws of association football , codified in Law 11 of the Laws of the Game . The law states that a player is in an offside position if any of their body part except the hands and arms is in the opponents' half of the pitch and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent [1] (not necessarily the goalkeeper). Being in an offside position is not an offence in itself; a player who was in an offside position at the moment the ball last touched, or was played by a team mate, must then become involved in active play in the opinion of the referee, in order for an offence to occur. When the offside offence occurs, the referee stops play and awards an
indirect free kick to the defending team from the place where the offending player became involved in active play.
 
Liverpool bwana, jmosi utasikia kapigwa na WBA


Mkuu inaonesha Wewe Ndiyo Kwanza Upo Katika Msimu uliopita Wa 2016/17... 😀😀😀

Katika Msimu huu Wa 2017/18 Hatufungwi na Timu kama hizo Katika Ligi Kuu Kwani Timu ndogo iliyo nje ya Top Four iliyotufunga Ni [HASHTAG]#Swansea[/HASHTAG] peke Yake.
 
Liverpool have scored 33 goals in this season’s Champions League - the most ever by an English side.



IMG_20180411_004922.jpg
 
JOSE ni Mwalimu wa kuua VIPAJI.

Yeye anataka Mchezaji mpaka awe na jina.

Huwa hana Muda wa kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI
Kwani Klopp kawatengeneza akina nani Liverpool? Unapo coment za wengine jiangalie kwanza wewe
 
Hongereni Scousers kwa kuwafunga mdomo hao Arab Money.
Nimefurahi round hii 'adui' mmoja kalazwa chini, na round ijayo 'adui' wa mwisho naye analazwa chini.
 
Sadio Mane vs Man City

√ 76% passing

√ 7/10 dribbles - most on the pitch

√ 2/7 aerial duels

√ 2/4 tackles

√ 3 interceptions
 
Dejan Lovren & Virgil van Dijk vs Man City

√ 21 clearances

√ 4/4 tackles

√ 2 interceptions

√ 8/10 aerial duels
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom