Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
spurs kamaliza juu ya asenali kwa mara ya kwanza mwaka jana tangu iitwe premier league 1992...je spurs kakaa juu ya liva mara ngapi tokea mwaka huo?...ukipata jibu ndo utajua unafikiria kwa kutumia kipapatio..Malengo ya Arsenal huwa yanaishia wapi sasa?
Maana huwa inafika hatua mnagombea top four tu, na sasa Spurs anajua kuwaotea kwa kuwaweka chini yake tu. Basi hapo maumivu yanazidi mara zote.