Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hawa hawa viumbe mpe Mourihno watageuka vituko tu
Liverpool sasa ina kocha jamani
Ni kweli maana Morinho na Klopp ni makocha tofauti wenye kariba tofauti, Lakini wote tunajua Morinho ni hatari zaidi.
 
JOSE ni Mwalimu wa kuua VIPAJI.

Yeye anataka Mchezaji mpaka awe na jina.

Huwa hana Muda wa kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI
Unajua mashabiki baadhi wa Liverpool mnakuwaje sijui mkishinda, au Kwa kuwa hamjazoea hii hali???

Mbona huongelei aliowainua?? Ozil, Varane, Lingaard, William na wengine wengi??

Hao unaosema ameua vipaji unamaanisha Wale walioshindwa kushine katika falsafa zake??

Kama ilivyo Kwa Klopp kuirevive Liverpool hadi kuonekana kuwa title contender na ndivyo ilivyo Kwa Morinho, ingawa tofauti ni Kuwa Morinho aliwahi zaidi na vikombe zaidi.
 
Kiongozi.

Umeshindwa kunielewa.

Nimeweka mambo Matatu ambayo ni,

Kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI.

Sifa hizo tatu nilizozitaja, JOSE hana hata sifa moja hapo
Kumbe we mpuuzi wa mpira kihivyo, naona ushindi umekufanya uwe kipofu or ni hujui tu.
 
LIVERPOOL PLAYER RATINGS

Loris Karius 8

No chance with the goal but otherwise had only a few routine saves to make. Got lucky with the disallowed goal but his safe handling exuded calm, particularly during the second half.
 
Trent Alexander-Arnold 9

Sane will hope he doesn't see the right-back again for a very, very long time. For the second time in a week, the youngster emphatically bested the City man, all the more impressive this time given his first-half booking

Hii ndiyo Faida Ya Wachezaji Wadogo wanakuwa Wepesi Wa Kujifunza Kuliko Wale Above 25years.

Alifanya Makosa Siku Ya Man United na Wengi Tukaamini Kuwa Yatajirudia Kwa Sane lakini Hatimae Alijirekebisha na Kumfanya Sane Katika Maisha Yake Yote Atajutia Kuwahi Kukutana na [HASHTAG]#TAA[/HASHTAG].

Wakuu Niaminini Kuwa Baada Ya Misimu Kama Miwili Kupitia Dogo Huyu Tutakuja Kuwa na Best Right Back in the World. Iwapo Tu Injury au Gomez na Clyne hawatakuwa Kikwazo Kwake.
 
Virgil van Dijk 8

Rightly thought he was fouled in the build-up to the opener but guilty of not playing to the whistle. Was affected by it for a while but calmed down to dominate the City attack once more.

Goli la Kwanza alicheza na Refa ndiyomana Sterling akatumia Advantage ya Kumsukuma lakini Naamini Atajifunza Kwa hili
 
Dejan Lovren 9

Liverpool's best defender during such a difficult first half, putting everything on the line and making some fine tackles. Fortunate to escape a booking for a foul on Sterling. This, though, has to be his finest performance for the club.

Hapa Ndiyo Ninapopata Ukakasi Kwa Lovren! Kwakweli Mechi Hizi Mbili Za Man City Kacheza Uzuri Kiasi Ya Kwamba Waweza Zani Ni Carragher! Lakini Consistency Yake Haiaminiki Hata Kidogo Kwani Muda Wowote Jamaa Anaweza Kuicost Timu.

Niaminini Angelikuwa Wanaweza Kudumu na Consistency hii Basi Kusingelitokea Timu Yoyote Ya Kuweza Kutufunga.
 
Andy Robertson 7

Defensively tested by Bernardo Silva, and did okay in that regard. His distribution, shocking in the first half, improved considerably in the second half.

First Half Alisumbuliwa Na Bernardo Silver lakini Second Half Alirudi Katika Form
 
Gini Wijnaldum 8

His efforts weren't so clear before the interval with Liverpool sitting so deep, but he excelled after the interval in the defensive midfield role which had been such a concern before the game.
 
James Milner 9

Took an age to get into the game, but his renowned energy levels came into play in the second half. Superb again. Was it his touch for City's disallowed goal? Who cares.
 
Alex-Oxlade Chamberlain 7

Got in the way of a few City shots early on but otherwise a struggle to recall much until having Liverpool's first shot on target on 41 minutes and then should have scored shortly afterwards. Then
 
Mohamed Salah 8

Barely touched the ball before the break. Shifted into a central position midway through the first half and that paid dividends with his brilliantly-taken goal that killed the tie at a stroke.
 
Roberto Firmino 8

Got a good booking in the first half, but did little else until warming to his task approaching the interval. Like so many of his team-mates, excellent thereafter and took his goal superbly.
 
Sadio Mane 7

Unlucky to slip into Otamendi and be booked, and that bothered him for a bit. The Senegalese, though, didn't shirk a challenge or his responsibilities, and was still running hard come full time.

Baada Ya Kupewa Red Card Katika Mechi Dhidi Ya Man City na Klopp akawa Anamfanyia Rotation Alipotea Mchezoni Na Akawa Hana Consistency Kiasi Ya Kwamba Baadhi Ya Mashabiki Tukadhani Ndiyo Mwisho Wake..

Lakini Hatimae Amerudi Sadio Mane Halisi Akiwa Na Consistency Kamili na Kasi Mpya Kiasi Ya Kwamba Karibu Kila Ushindi Wetu Utakutia Yeye Ndiye Chanzo.
 
Sadio Mane 7

Unlucky to slip into Otamendi and be booked, and that bothered him for a bit. The Senegalese, though, didn't shirk a challenge or his responsibilities, and was still running hard come full time.

Baada Ya Kupewa Red Car Katika Mechi Dhidi Ya Man City na Klopp akawa Anamfanyia Rotation Alipotea Mchezoni Na Akawa Hana Consistency Kiasi Ya Kwamba Baadhi Ya Mashabiki Tukadhani Ndiyo Mwisho Wake..

Lakini Hatimae Amerudi Sadio Mane Halisi Akiwa Na Consistency Kamili na Kasi Mpya Kiasi Ya Kwamba Karibu Kila Ushindi Wetu Utakutia Yeye Ndiye Chanzo.

Kapiga mpira mkubwa sana hii playoff
Mane karudi aisee!!
 
IMG_20180405_171540.jpg
 
IMG_20180411_010904.jpg



Jiandae Kuzeeka Ukiwa Man Shit lakini Usifikirie Kuwa Utawahi Kubeba [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Kwa Timu Hiyo Ambayo Ni Robofinalist Wa Kudumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom