Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapa ni mpaka kubeba kombe!....tuanze kushangilia ubingwa sisi.hakuna timu yenye uwezo wa kutuzuia
 
Raha ya ushabiki bana ni hii. No consistency katika kushutumu au kusifia. Huyu Klopp alitukanwa sana mwanzoni mwa ligi lakini sasa ni hero kuliko makocha woote duniani. Ona atakapovurunda mitusi itakavyorushwa juu yake. Tusubiri tuone
 
Mkuu Kama Kutakuwa Kuna Mtu Anampenda Kocha Anaevurunda basi Nadhani Utakuwa Ni Wewe tu.

Kama Kutokuwa na Consistency Kwa Kumshabulia Kocha Anaevurunda Basi Mimi Ni Kiboko Yao.

Mkuu Mimi Binafsi Nilimlaumu Sana Klopp Misimu Miwili iliyopita Kwa Kutufanya Tudharaulike hususan Pale Tunapofikia Kucheza Michezo 8 mfululizo na Vibonde Bila Ya Ushindi Mwisho Wake Tunakosa Hata Carabao.

Lakini Kwasasahivi Wakati Tunashinda ziwezi Mshambulia Tena Klopp Bali nitampongeza Kwa Ushindi tu na sio Kwamba Nampongeza Kwa Mafanikio! Kwani Mafanikio si Kumfunga City Bali Ni Kuchukua Kombe.

Kwahiyo Nasubiri Tubebe Kombe ili Nimpongeze Kwa Mafanikio na si Sasahivi.

Kwahiyo Sasahivi Sina Sababu Ya Kumlaumu Kocha Kwasababu Timu inashinda! Na ikitokezea Timu Kuboronga! Kwanini Tusimlaumu Wakati Yeye ndiye Responsible Wa Timu??
 
Katika Kitendo Ambacho Man City pamoja Na Liverpool Hawatokisahau Ni Hichi Cha Mo Salah Kushangiria Hivi Baada Ya Kufunga Goli

9b1a008c18fd794df145b484332aafada357fbf1.jpeg
 
kane kapewa goli la bure dhidi ya spurs, waingereza wameungana dhidi ya salah.

Harry Kane has been awarded Tottenham Hotspur’s second goal in their 2-1 win against
Stoke City on Saturday, after the club and player successfully appealed to the Premier League’s Goal Accreditation Appeals Panel.
The goal had originally been awarded on the day to Christian Eriksen, but after taking the player’s testimony into account and reviewing the match footage, a three-person panel agreed that the final touch on the ball belonged to Kane.
Kane now has 25 Premier League goals
 
Naona kampeni ya kumtafutia Kane Kiatu cha Top scores imejionesha wazi wazi Hahahahahaha
 
kane kapewa goli la bure dhidi ya spurs, waingereza wameungana dhidi ya salah.

Harry Kane has been awarded Tottenham Hotspur’s second goal in their 2-1 win against
Stoke City on Saturday, after the club and player successfully appealed to the Premier League’s Goal Accreditation Appeals Panel.
The goal had originally been awarded on the day to Christian Eriksen, but after taking the player’s testimony into account and reviewing the match footage, a three-person panel agreed that the final touch on the ball belonged to Kane.
Kane now has 25 Premier League goals

Kazi wanayo aisee, kwa mechi sita zilizobaki nina imani Salah ataongeza magoli yasiyopungua matano ambapo atafikisha goli 34 na kuchukua kiatu. Kane hana huo uwezo!
 
Raha ya ushabiki bana ni hii. No consistency katika kushutumu au kusifia. Huyu Klopp alitukanwa sana mwanzoni mwa ligi lakini sasa ni hero kuliko makocha woote duniani. Ona atakapovurunda mitusi itakavyorushwa juu yake. Tusubiri tuone

Sina hakika kama kuna mtu humu alisha mtukana/kumtusi kocha kama unavyodai. ... na mada hizi tuliziacha ku-keep jukwaa in good atmosphere
 
Hongereni sana ndugu zetu mkaipeperushe vyema bendera ya England angalau muitoe kimasomaso England...... ila sasa mweeee tutakoma maana ile lugha yenu ya sisi wazeee wa Champion itarudi hehehehrhe!! Ngoja tu niwaombee mema huku nikijiandaaa kisaikolojia hahahahaha...... You never walk alone tupo pamoja!!!
 
Asante,huu msimu kombe lina rudi england kwani mpaka sasa tunasifa ya kuwa mabingwa hatuja fungwa na timu yoyote ile.
 
All the best ila muiangalie sana Real Madrid anataka kuzidi kuweka heshima huku mjerumani ana hasira kweli kweli kalimiss sana,mi niwaombee tu heri maana sasahivi England imedharaulika sana ileteeni heshima tu Malkia afurahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom