Swahili Ambassador
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 204
- 245
Dakika ya 86 wanatukosa kidogo sana hawa.
Asante Mungu.....pointi 5 hizo zimeondoka...
Ndo malengo yenu kila msimu...top 4 tu...hakyamunguTumeisha qualify UCL mwakani!
Sisi sasa tunaiongelea Jumanne sio UCL qualification
Vipi malengo ya Arsenal?Ndo malengo yenu kila msimu...top 4 tu...hakyamungu
mwanzoni mwa msimu kila timu kubwa inakuwa na malengo ya ubingwa kasoro nyie..Vipi malengo ya Arsenal?
Malengo ya Arsenal huwa yanaishia wapi sasa?mwanzoni mwa msimu kila timu kubwa inakuwa na malengo ya ubingwa kasoro nyie..
mwanzoni mwa msimu kila timu kubwa inakuwa na malengo ya ubingwa kasoro nyie..
Ucl ni ligi ya mabingwa kama unaweza kachukue na wewe kwa mabingwaTatizo mnakariri wazee nyie....kwan makombe ni ucl pekee..?
kisa we umechukua kpndi mabao yanafungiwa mkono...Ucl ni ligi ya mabingwa kama unaweza kachukue na wewe kwa mabingwa
we uropa si wanakunyesheaga mvua...Nachukua UCL na itakuwa mara ya 6 kulichukua!
Arsenal hajawahi chukua UCL wala Yuropa