Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Nimekubali Kiongozi.
Alichokitaka KLOPP kimefanya KAZI.
KLOPP ni Mwalimu Mzuri sana.
Sema Mashabiki wa Liverpool walikuwa wanashindwa kumuelewa.
Mwalimu Mzuri Siku zote mpe Muda kwenye KLABU hata kama mtakua hamchukui MAKOMBE, cha kufanya ni kuvumilia.
MATUNDA Siku zote yanaonekana baadae
Mkuu mm nilishtukia kama Liverpool sasa ina kocha kitambo sana wkt ule anafungwa fungwa lkn unaona kabisa team ina progress!
Wengi sana hapa hawakuwa na subira!Siwezi badili Klopp na kocha yyt hapa duniani

