HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Labda ingekuwa CITY na PSG ingewezekana.City wanatakiwa wapate goal 5 ndio wapite
Lakini sio kwa Mziki huo wa Watoto wa ANFIELD
Labda ingekuwa CITY na PSG ingewezekana.City wanatakiwa wapate goal 5 ndio wapite
Kwa Matokeo haya mpaka kufikia hivi sasa.EHHEEE BARCA kala 3 bila mpaka hv sasa
Chawi mdogo kakutana na wajukuu wa Pope,lazima awe mpole.Masikini messi anaambulia kadi tu leo
Hongera sana watani. Huyu kijana wetu wa jiji la manchester mwenzetu anajifanya mjuaji.. afadhali mmenyoosha.Wale nyuki mliowachokoza mkitegema watatung'ata sasa leo mnao.. watieni moto tu kabisa wafe vinginevyo watawafedhehesha...
All the best watani






Kama nilivyosema, nilishatambika huku kwetu milimani Lushoto,Mkuu kuna Goli 2, moja la Firminyo na lingine la mwafrika yeyote![]()