Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa ninavyoona Mabadiliko yatakuwepo tu.

Haya mambo ya kumwacha SALAH peke ake na kutegemea kaunta ataki ndio yanayosababisha CITY kukaa sana upande wa Liverpool, Liverpool inakuwa kama wanapaki BASI kimtindo.

MANE aje mbele huku.

SALAH akipata Mpira inabidi acheleweshe kwanza kuwasubiri wenzake kwasababu yupo peke ake.

Kipindi cha Pili kimeshaanza.

Chochote kinawezekana
Mkuu hio ilikua ni game plan ukizingatia Salah mwenyewe hakua fit asilimia 100 ndio maana ili heavy metal futbol hujaiona na pia tulishatanguliza mguu mmoja semi final hivyo leo ilikua ni kumcontrol game kwa faida yetu...Kloooop leo kaonyesha ni mwalimu mzuri maana namna mabeki walivyo cheza kama unit ni ishara tosha wanachofundishwa wanaelewa ,Sane leo offiside kama mvua....In Kloop we trust
 
Kuna Kijinyuzi Flani Cha Mnoko Mmoja Kinasema Eti Guardiola Kaja Kuiumbua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] 😀😀😀

Tani Ya Miezi Mitatu anakula Vipigo Vitatu Kutoka Kwa Liverpool
 
Kuna Kijinyuzi Flani Cha Mnoko Mmoja Kinasema Eti Guardiola Kaja Kuiumbua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] 😀😀😀

Tani Ya Miezi Mitatu anakula Vipigo Vitatu Kutoka Kwa Liverpool
Na hapo next game ako na Spurs.. akiliwa na spurs siku hiyo nakesha bar.....
Screenshot_2018-04-10-23-53-25.jpg
 
BARCA Mungu mtu wa yule jamaa leo kawa OUT kwa Roma
Barca anafungwa bao 3-0 na hana shoot hata moja on target!
Barca huyu hawezi mfunga Liverpool yetu popote pale
 
Mkuu hio ilikua ni game plan ukizingatia Salah mwenyewe hakua fit asilimia 100 ndio maana ili heavy metal futbol hujaiona na pia tulishatanguliza mguu mmoja semi final hivyo leo ilikua ni kumcontrol game kwa faida yetu...Kloooop leo kaonyesha ni mwalimu mzuri maana namna mabeki walivyo cheza kama unit ni ishara tosha wanachofundishwa wanaelewa ,Sane leo offiside kama mvua....In Kloop we trust
Nimekubali Kiongozi.

Alichokitaka KLOPP kimefanya KAZI.

KLOPP ni Mwalimu Mzuri sana.

Sema Mashabiki wa Liverpool walikuwa wanashindwa kumuelewa.

Mwalimu Mzuri Siku zote mpe Muda kwenye KLABU hata kama mtakua hamchukui MAKOMBE, cha kufanya ni kuvumilia.

MATUNDA Siku zote yanaonekana baadae
 
Kwa hakika tangu aje VVD upande wa ulinzi umeimarika sana, yale makosa yaliyo tu cost game ya Arsenal, Westbrom,Swansea n.k kwa sasa hayajatokea tena
Pep kwa mara ya kwanza amekua mdogo kama piliton lakini pia hata mashabiki wa Manshit sio wapiga kerere kama pale Kops end Anfiled...yaaani mashabiki wishaona kutupiga goli 4 bila ni pangumu...
kwa mwendo huu Klop naamini atatuteletea kikosi cha kuchukua EPL msimu ujao...
Tusubiri Ijumaa draw aje Roma, Real au Munich...hapa watakaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom