Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huyu Refa ana rekodi Mbaya Sana Ya Kutoa Makadi mengi Kwa Kila Mchezo
Tunashambuliwa au tuseme typical Man City style....ila Klopp itakua ni game plan kuanza na slow gear kipindi cha kwanza...naamini cha pili goli lipo tumalize kazi EthadWajameni mpira huko ukoje? Maana mie nipo hospital leo namuuguza bro wangu ila mawazo yalishakata passport na kugonga visa kwenda Etihad.
Najua tumefungwa moja, tunashambuliwa sana ama na sisi tunafika golini kwao?
Kwa ninavyoona Mabadiliko yatakuwepo tu.Tunashambuliwa au tuseme typical Man City style....ila Klopp itakua ni game plan kuanza na slow gear kipindi cha kwanza...naamini cha pili goli lipo tumalize kazi Ethad
Half Time....... One side Game