Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naimani liverpool mtawatoa man city, i believe on you, mkitulia mkatandaza soka lenu vizur, simuon man city anapoponyokea.
 
Nakumbuka Moja Kati Ya Post Zilizopita Nilisema Kuwa Liverpool itakutana Na Mshindi Wa Mechi Kati ya Man City na Basel Kuna Mashabiki Wa Manure hapa the so called Belo Kanifokea Kinoma Kisa tu Yeye Kajiunga #JF mwanzo Kuliko Mimi na Akiamini Kuwa Kujiunga JF mwanzo ndiyo Kujua kila kitu.
 
Mzee baba kwema
 
naona Messi anatafutiwa kiatu kingine, King makers wako kazini
 
Hapa Ukweli Ni Kwamba Kulikuwa na Possibly Kubwa Ya Timu Zote za Uingereza Kutinga Nusu Fainali, Lakini UEFA wamezipiganisha Kimahesabu ili mmoja lazima atoke, Na Kuzitenganisha Timu Zote 3 za Spain ili Kumjengea Mazingira Barca na Real Wote watinge nusu.

Lakini Real na Sevilla wanatolewa! Halafu Barca (Mancity au Liverpool) tunamsubiri Fainali Tumrambishe Ndimu.
 
Nilijua tu Hapa Mashabiki Wapinzani Wa Liverpool Watakuja Kuropoka Utazani Liverpool Hajawahi Kuifunga Man City wakati Ukweli Uko Wazi Man City ndiye anaebahatisha Kuifunga Liverpool!!!
Hapo unazungumzia Liverpool ya kipindi gani na Man City ipi? Nyoosha maelezo nani anambahatisha mwenzie kwa sasa?

Liverpool hii nilikwambia ile siku ni genge la wahuni watatu imfunge Man City?

Unajua Liverpool toka hatua ya makundi mmepita kwenye kundi mama mama na Porto nao vile vile?
 
Hapa Ukweli Ni Kwamba Kulikuwa na Possibly Kubwa Ya Timu Zote za Uingereza Kutinga Nusu Fainali, Lakini UEFA wamezipiganisha Kimahesabu ili mmoja lazima atoke, Na Kuzitenganisha Timu Zote 3 za Spain ili Kumjengea Mazingira Barca na Real Wote watinge nusu.

Lakini Real na Sevilla wanatolewa! Halafu Barca (Mancity au Liverpool) tunamsubiri Fainali Tumrambishe Ndimu.

kwa mahesabu ya hawa watu ni lazima mwenyezi Mungu awe upande wenu ili kushinda hili kombe ,nina uhakika kwa vyovyote vile man city na liverpool zisingekutanishwa pamoja zote zingefika semi final
 
Nakumbuka Moja Kati Ya Post Zilizopita Nilisema Kuwa Liverpool itakutana Na Mshindi Wa Mechi Kati ya Man City na Basel Kuna Mashabiki Wa Manure hapa the so called Belo Kanifokea Kinoma Kisa tu Yeye Kajiunga #JF mwanzo Kuliko Mimi na Akiamini Kuwa Kujiunga JF mwanzo ndiyo Kujua kila kitu.
Ulitumia sababu gani kama siyo gambling?
 
| No manager has beaten Pep Guardiola more often than Jürgen Klopp, who has done so in 6 of their 12 meetings
 
Remember Man City have lost at home in the Champions League twice...

Shakhtar & Basel...
 
Klopp on Champions League draw: "I think it's the dream draw for all Man United fans."
 
Hapo unazungumzia Liverpool ya kipindi gani na Man City ipi? Nyoosha maelezo nani anambahatisha mwenzie kwa sasa?

Liverpool hii nilikwambia ile siku ni genge la wahuni watatu imfunge Man City?

Unajua Liverpool toka hatua ya makundi mmepita kwenye kundi mama mama na Porto nao vile vile?

Kwani Wewe unataka vipi? Hata Liverpool hii ya Sasa last season iliifunga Man City ya Sasa, Na Msimu Huu pia Liverpool ya Sasa iliifunga hiihii Man City ya Sasa. Ukitaka Pia Liverpool Na Man City za Miaka 5 iliyopita ndiyo utanyamaza Kimya kabisa.

Kilichompa Promo Man City Ni Kule Kutufunga Goli 5 tu msimu Huu.

Usiniletee Maneno ya Kwenye Kanga! Weka Stats Hapa za Recent years au Mwaka Huu kadri utakavyoamua ili tutazame nani ana Kawaida ya Kumbahatisha Mwenzie
 
Klopp on Champions League draw: "I think it's the dream draw for all Man United fans."
Mmh kivipi sijamuelewa kabisa ilikuwa ndoto yao kivipi akimaanisha kwamba wamefurahi kukutana kwa timu za Uingereza???
 
thumb_31331_default_news_size_5.jpeg

The first leg: At Anfield on Wednesday April 4 at 22:45

The return leg: At Etihad Stadium on Tuesday April 10 at 22:45
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom