kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,783
- 2,085
Asante sana mkuu...!!!
Asante sana mkuu...!!!
We kweli kichwa kichafu, rudi tena mbweha weHizi porojo zote Mara za ratiba Mara za msimamo Wa league ni kuficha ukweli na madhaifu yenu. Kuwa mtakufa na mkikaa ovyo mtakufa nyingi.
Nyie ingie uwanjani kukamilisha ratiba ya UCL pamoja na kupunguza aggregate hamna kingine.
Liverpool kufa kwa Man City ni jambo lisilo epukika wala kupingika.
Kila la kheri katika kukamilisha ratiba.
Hatubishani mkuu. .. tuna kumbushana
Njoo tena kupayuka maneno yako mbona unakimbia, kichwa majiKama uliangalia matokeo liverscore Una haki ya kusema hivyo.
Ila ungeangalia mpira vizuri usingethubutu kuzungumzia ile game.
Hatubishani mkuu. .. tuna kumbushana
MusaAsante sana mkuu...!!!
Kikwazo kwa timu zote ni RONALDO. Huu ndio kweli. Kama timu, yeyote atakayekutana na Liver atakuwa na wakati mgumu sana ila sio Madrid hii ya Ronaldo. Naiona Barca nyanya kabisa kwa Liver tena home amd away kama watapangiwa.
hivi kuna mchezaji wa city atakeye miss mechi ijayo na liva kwa sababu ya yellow card?msaada tafadhali
Yupo.. Henderson atakosa mechi ijayo, Etihad Stadium. Jana kapata kadi ya pili ya njano.Hakuna mkuu
Liver bado wana ile tendency ya kuvizia mechi za UEFA.
Pamoja na hilo siwawekei dhamana, mna asilimia kubwa ya kuvuka hapa lakini siwaweki kwenye list ya u champion.
Vizr sana......ila hii timu si ya kuamini utashangaa mtu anakojolewa 5 mechi ijayo....
Na mlimshika kisawasawaCB patner wa VVD awe nani kati ya Lovren n Matip?
Sababu Aguero hachezi nadhani Lovren anamuweza Jesus
HahahahahNjoo tena kupayuka maneno yako mbona unakimbia, kichwa maji
Good results, 3 goals na cleanshit versus Man city tulicheza vizuri na kudefend vizuri kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Lovren akicheza bila panicking hasa hasa kipindi cha pili. Nilipoona Lineup i was a bit nervous kuona kuna
Furaha imekujaa mpaka unasahau AOC mafanikio yake mpaka sasa ni kujihakikishia champions league position, semi final champions league, na Hana medal yoyote
Keep dreaming witchdoctor
Mkuu mshindi kati ya liver na cty anakutana na mshindi kati ya juve na madrid, pia mshindi kati ya barca na roma atakutana na mshindi kati ya munchen na sevila