Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I wish mpangwe na Madrid mumuoneshe njia ya kurudi Hispania
Mkuu mshindi kati ya liver na cty anakutana na mshindi kati ya juve na madrid, pia mshindi kati ya barca na roma atakutana na mshindi kati ya munchen na sevila
 
hivi kuna mchezaji wa city atakeye miss mechi ijayo na liva kwa sababu ya yellow card?msaada tafadhali
 
Nadhani Alex Oxlade Chamberlain ameshaonesha Wazi Kuwa Hawezi Kujuta Kuhamia Liverpool na alichokifanya Ni Sahihi na Ni Bora Kwa Mchezaji Yeyote Kufanya Kama Alivyofanya Yeye Kujiunga na Liverpool 😀😀😀
Furaha imekujaa mpaka unasahau AOC mafanikio yake mpaka sasa ni kujihakikishia champions league position, semi final champions league, na Hana medal yoyote
 
Hata kipindi cha kwanza umiliki tulizidiwa tulichotakiwa ni kuondoka na clean sheet ambayo kiuhalisia city wanatakiwa washinde 4-0 second leg (ni ngumu tena ngumu sana i mean haiwezekani)kuliko wangepata 1 or 2 goals kwao second game ingewezakuwa rahisi

Technically we are in semi final easily!
Okay japo haijakaa kiuchambuzi sana mana kwa umiliki ule unafikiri wasingeweza kupata goli?? Na unafikiri kwa nini hatukupata goli? Mbona Klopp kuna mda alilalamika sana kuonyesha kuna makosa yalikuwa yanafanyika???
 
Good results, 3 goals na cleanshit versus Man city tulicheza vizuri na kudefend vizuri kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Lovren akicheza bila panicking hasa hasa kipindi cha pili. Nilipoona Lineup i was a bit nervous kuona kuna
 
Okay japo haijakaa kiuchambuzi sana mana kwa umiliki ule unafikiri wasingeweza kupata goli??

Kiuhalisia hawajapata ... back line jana imefanya kazi yake

Na unafikiri kwa nini hatukupata goli? Mbona Klopp kuna mda alilalamika sana kuonyesha kuna makosa yalikuwa yanafanyika???

hata mimi sikufurahia Ile performance ya 2nd half
 
Sakho alifunga goli la 3 dk 80+ then Lovren mkuu ...

Angalia hapo chini ilimuachekubishana

IMG_2404.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom