Bs sawaCity wanachomoa zote 2nd half
endelea kuota ukiamka kakojoe ukalale!!!City wanachomoa zote 2nd half
ni kweli hata Sevila ilikua hivi hivi ila kwa sasa tupo tunanusa fainali ileeee kwa hio sitegemei vijana wetu watuangushe leo....YNWATatizo liver nae kukomaa hawezi,unaweza ukakuta cha pili zikachomolewa zote
Kwa umri wako hutakiwi kuwa mchawi, tabia za vigagula hiziCity wanachomoa zote 2nd half
Mou ajifunze kwa Klopp akitaka kushinda game ijayo. Kwanza Shitty atataka lazima ashinde ili atangaziwe ubingwa mbele yetu. Kwa vile tuko ugenini hio game, masikini Mou mindset yake itamwambia tutoke na droo tu, wacha wengine watufanyie kazi ya kuwafunga.Leo nina wakati mgumu sana. Lakini *** it, bora Scousers washinde na kufuzu kwenda SF. Kisha I will laugh at you when yo get battered in the SF. Hawa Shitty wakishinda wataleta kelele sana na maneno yao ya Pep ni kocha bora kabisa.
Tatizo liver nae kukomaa hawezi,unaweza ukakuta cha pili zikachomolewa zote
Wamelala mkuuMan city wamesimama au?