Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuumia kwa Salah kumewapa sana nguvu
Tungewapiga zaidi hawa
Kweli Kiongozi.

Na kutolewa kwa FIRMINO nako kumepunguza Mashambulizi.

Maana wale watatu wakikutana, MANE, SALAH na FIRMINO ni Moto wa kuotea mbali
 
CITY wameishiwa, sasa wanakuja na mbinu ya kuwaumiza Mashine za LIVA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom