Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

BEKI wa kati wa Bayern Munich, Mats Hummels amekiri amekuwa mwenye furaha kubwa baada ya timu yao kuikwepa Liverpool kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Miamba hiyo ya Ujerumani na badala yake sasa itavaana na Sevilla, huku Liverpool ikiwa na kibarua na Waingereza wenzao, Manchester City katika hatua hiyo ya nane bora, ambaye anayepigwa basi anafungasha virago.

Hummels aliwahi kuwa chini ya Kocha Jurgen Klopp, anayeinoa Liverpool kwa sasa, hivyo anafahamu wazi mbinu za kocha huyo anapokuwa kwenye mechi kama hizo kwa sababu alikuwa moto Borussia Dortmund.

“Nafahamu timu za Klopp nguvu yake,” alisema Hummels.

“Nafahamu timu yake inavyokuwa nzuri kupita kiasi inapofikia hatua kama hii. Wakati mwingine inakuwa vigumu sana kucheza na timu ambazo zipo kwenye nafasi za chini kwa misimamo ya ligi zao.

Liverpool ni timu ambayo siku zote inacheza mpira mkubwa sana inapokutana na timu bora.

“Ukweli sidhani kama kuna timu zilizobaki kwenye hatua hii zingependa kukutana na Liverpool. Shughuli yao ya uwanjani si ya kitoto, wasumbufu na inawachezaji wenye viwango, hasa kwenye fowadi yao.”

Liverpool imefunga mabao 28 katika mechi nane ilizocheza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu hadi kufikia katua iliyofikia kwa sasa ya robo fainali, ambapo kesho Jumatano itakipiga na Man City huko Anfield.

Source Mwanaspoti
 
Liverpool defender Joel Matip is expected to miss the rest of the season with a thigh injury.

Matip suffered the injury in Saturday's 2-1 win over Crystal Palace and the club have confirmed he will require surgery.

Source:SkySports
 
Liverpool defender Joel Matip is expected to miss the rest of the season with a thigh injury.

Matip suffered the injury in Saturday's 2-1 win over Crystal Palace and the club have confirmed he will require surgery.

Source:SkySports


Liverpool confirm Joel Matip injury

Hapo Ndiyo Ninapojiridhisha Kuwa Matip Ni Beki Mzuri ila injury Ndiyo inayoathiri Uwezo Wake..
Ni Jambo lisilopingika Kuwa Tunahitaji New Centre Back Kwani Matip Ni injury prone ambaye haonekani Kupata Ufumbuzi Wa Tatizo lake! Na Kumchezesha Centre Back Lovren Ni Sawa Na Kumueka Mwendawazimu aliyetoroka Mirembe.
 
• Liverpool have stepped up their interest in Nicolo Barella after being impressed by the Italy U21 international's performances for Cagliari this season.

Source: Daily Mirror


• Liverpool are in the hunt for Valencia starlet Ferran Torres, according to Spanish football expert Guillem Balague.

Source: Daily Express


• Liverpool have reportedly joined Chelsea, Real Madrid and Barcelona in the chase for Ferran Torres

Source: Liverpool Echo


• Liverpool are monitoring the progress of Valencia winger Ferran Torres amid competition from Premier League rivals Chelsea.

Source: Mail Online
 
Klopp kausuuza sana moyo wangu kwa alichokisema pale chini kabisa (in red) kwenye sentenso ya mwisho kwenye paragraph ya mwisho ya article hii. jamani kiutani-utani pamoja na underdog (sijui wildcard) tag tuliyopewa tunaweza kujikuta tunabeba ndoo ya UCL... that will be just "WOW"!!

come on you Reds!!

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Liverpool boss Jurgen Klopp on why Mohamed Salah '100%' deserves to be Player of the Year
Reds boss says the race for the individual gong has come down to two players

Ian Doyle
22:29, 2 APR 2018

Jurgen Klopp believes Liverpool's Mohamed Salah “100%” deserves to be named PFA Player of the Year ahead of Manchester City midfielder Kevin de Bruyne.

And the Reds boss wants the Egyptian to underline his claim by continuing his outstanding form through to the end of the season.

Salah moved on to 37 goals in 42 appearances during his debut Liverpool campaign with his late matchwinner in the 2-1 triumph at Crystal Palace at the weekend.

De Bruyne, meanwhile, has now accrued 19 assists in all competitions to help move City within one victory of clinching the Premier League title.

The two players will go head-to-head on Wednesday night in the Champions League quarter-final first leg at Anfield.

Klopp, though, is in no doubt who should come out of top in the individual awards.

“Do I get a vote? No,” said the Reds boss. “I think Mo would deserve it 100%. As his manager, I'd say 'come on, prove it by playing at this level for the rest of the season'. That's how it is.

“Both players have played an outstanding season with obvious highlights. Scoring goals, creating chances, which is what everyone wants to see.

“I am happy that I don't have to make this decision. Yes, Mo would deserve it.

“But if I said now that Kevin De Bruyne should have no chance I'd be lying. He's a fantastic player and City will be champions so he has a trophy. Maybe we can at least win the other one.”
 
Klopp: "Hoping for a clean sheet against Man City doesn't make too much sense. We need to be ready, you need a fantastic goalkeeper, fantastic defence, fantastic organisation." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]
 
Klopp on [HASHTAG]#ManCity[/HASHTAG] training at Anfield this afternoon, “We wanted to train at [HASHTAG]#MCFC[/HASHTAG] next week too but no Manchester club would give us a pitch for the next morning. [HASHTAG]#MCFC[/HASHTAG] can train at Goodison tomorrow, which gives me something for Saturday." [HASHTAG]#LIVMCI[/HASHTAG]
 
Klopp: "Emre [Can] will at least be very, very close for tomorrow." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]
 
Klopp: "I never beat Pep Guardiola, it was my teams. That record is not important. Pep isn't worried about that record and I am not proud of it. If you can beat the best that's enough for that day."
 
Best News I've heard in all Fvcking week! We have to deal only with Jesus & Fvcking Sterling.

 
Hiyo ni kawaida. Even Mahrez aliwafanya waAlgeria wengi waipende foxes na hata vijana wa kule ufaransa wa kitongoji cha le Havre. Mahrez amekuwa mentor wao mpaka aina ya unyoaji wanamwiga.

Salah kaongeza mashabiki wa Liverpool huko kaskazini mwa Africa. Zile pre season inatakiwa Liverpool badala kung'ang'ania kwenda huko Asia watumie hii nafasi kwenda mpaka Misri, Algeria Tunisia nk.

Ngoja abebe uefa champions league,awapelekee itakuwa Poa sana
 
Klopp: “As a team we need to be proud of our history but we need to create our own history"
 
Ni bora Aondoke tu Aende Hiyo Anayoiita Timu Kubwa! Na Sidhani Kama Kuna Timu iliyokuwa Tayari Kumlipa Hata £150K kwa wiki! Yeye anataka £200K kwa Kiwango Gani alichonacho!!!!
Tukimpata Seri na huyu Keita tutakua poa sana...Grujic aandaliwe kua holding midfilder kwa hapo Can pengo lake halitaonekana kamwe..
 
MY PREDICTION

Gemu zetu 6 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-

6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)

Home (H) Ni 3 na Away (A) Ni 3.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 3 za Home na Kujikusanyia Points 9 na Katika Michezo 3 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 1 (WBA) na Kupoteza Mechi 2 (Everton & Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 10 Katika Hiyo Michezo 6.
Ukijumlisha Hizo Points 10 na 66 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 76.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..
Everton babu tupate sare sio na Chelsink wapo in deep shit kwa rythym yetu kwa sasa watapigwa tu morale yao imeshuka sana...all in all Top 3 here we come...one step ahead tulipomaliza msimu uliopita hapo poa sana
 
Andy Robertson 8

The likeliest source of something, anything, being created – and he finally come good late on, with a fantastic piece of control and clever ball to Salah for the winner. Brought energy and purpose, even when others were labouring.
Moreno kwa kweli atasubiri sana huyu ndogo yupo vizuri going foward with purpose n defending as a unit...kwa kweli ukiacha Salah this young lad s pure class n bought at peanut....n stil young hii left side s now sorted, we are one defender less to be solid at the back
 
View attachment 731958

Hii Mbinu Aliyoitumia Klopp Baada Ya Kuumia Lallana Kwenye Game vs Palce ya Kuchezesha Mabeki Watatu Matip-Lovren-VVD na Kuwafanya TAA na ROBO Kuwa Ni Mawinga Wa Kati badala ya Full Backs (3-3-2-2) imetusaidia Sana na upatikanaji Wa Goli la Ushindi kwani ilikuwa More attacking with heavy Bombardments.

Lakini Mfumo huu hautotufaa Kwenye Mechi vs Man City.
Matip majeruhi msimu wote huu mpaka pre season ndio atarudi uwanjani...lets see who th gaffer wil select on behalf guys....
 
Liverpool and Manchester City will meet for the 179th time in all competitions, but this will be their first-ever meeting in European competition.

Jurgen Klopp has won five matches against Pep Guardiola in all competitions; more than any other manager (excluding shootouts). With two of these victories coming as Liverpool manager (in four attempts).

Liverpool haven’t lost a home match in European competition since October 2014 (0-3 vs Real Madrid) and are now unbeaten in 14 European games at Anfield (W9 D5 L0).

Manchester City will be appearing in a Champions League quarter-final tie for only the second time – the first occasion was in 2015-16 when they progressed over two legs versus Paris Saint-Germain, 3-2 on aggregate.

Liverpool are the top scoring team in the Champions League this season following the quarter-final stage (28 goals). The record tally of goals by an English team in a single Champions League campaign is 32 by Manchester United in 2002-03, while Liverpool’s club record is 29 goals in 2007-08.

The two meetings between Liverpool and Manchester City so far this season have produced 12 goals in total, with 26% of the shots attempted scored (12/47).

Leroy Sane has scored three goals in his two appearances against Liverpool so far in 2017-18.

Sergio Aguero has scored in all four of his Champions League away appearances so far this season for Manchester City (four goals) – no player has scored in five away appearances in a single CL season for an English club.

Mohamed Salah has had a hand in seven goals (six goals, one assist) in eight Champions League appearances so far this season. Before 2017-18, he’d scored three goals and assisted none in 15 appearances in the Champions League (for Roma, Chelsea and Basel combined).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom