Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sadio Mane vs Crystal Palace

√ 79% passing

√ 4 shots

√ 1 goal

√ 1/1 dribbles

√ 1/2 tackles

√ 1 interception

√ 1 disallowed goal

√ 1 yellow card
 
Virgil van Dijk vs Crystal Palace

√ 91% passing

√ 96 passes completed - most on the pitch

√ 1 chance created

√ 5/7 aerial duels - most for LFC

√ 1/1 tackle

√ 2 clearances

√ 3 interceptions - most for LFC

√ Dribbled past 0 times

• £75m bargain
 
Mo Salah vs Crystal Palace

√ 75% passing

√ 3 chances created

√ 1/2 dribbles

√ 3/3 tackles

√ 4 shots

√ 1 Match-winning goal

37 goals in all competitions
 
Naby Keita vs Hannover

√ 86% passing

√ 1 assist

√ 1 shot

√ 4/9 take-ons - most on the pitch

√ 1/2 aerial duels

√ 3/4 tackles

√ 5 clearances

√ 1 interception
 
Andy Robertson vs Crystal Palace

√ 82% passing

√ 2 chances created

√ 1 assist

√ 3/4 take-ons

√ 1/1 aerial duel

√ 2/2 tackles

√ 4 clearances

√ 1 interception
 
Gini Wijnaldum vs Palace

√ 94% passing

√ 0/1 aerial duel

√ 0 shots

√ 0 tackles

√ 0 clearances

√ 0 dribbles

√ 1 interception

Gini Kwakweli Anahitaji Msaada Arudishe Confidence Yake! Sasahivi ameshapotea Mchezini na Yupo Katika Kipindi Kigumu.

No doubt, Millner au AOC atachukua Nafasi Yake as First Choice.
 
Mkuu Jana Nilivizia Kwa Makini Press Conference Ya Klopp na Nikafanikia Kukutana Nayo Live! Nimemshuhudia Klopp Akisema Kuwa Can Hajataka £200K Bali ametaka £250K Lakini Bado Hapajaamuliwa Kitu na Mazungumzo Yanaendele (Klopp Said: "It was £250K! Nothing is decided. We are in talks so far.")

Kwahiyo Emre Can Kudai £250K kaluthibitisha Mwenyewe Klopp Hapo Jana kuwa Ni Kweli Lakini Pia Amethibitisha Kuwa Mazungumzo Bado Yanaendelea.

Klopp alikuwa anatania tu hakuwa serious bro

Hata kama ingekuwa kweli CAN kaomba huo mpunga Klopp asingeweza kuongea kwenye media

He was only Joking
 
Ukweli Usiopingika Ni Kuwa Msimu Ujao We need a replacement for Adam Lallana regardless Kama atauzwa au Hatauzwa.
Ukweli Lallana Ni injury prone na hawezi Kuunga tena kama ilivyo Kwa Sturridge! Kwahiyo Ni Lazima atafutwe Mbadala Wake Katika Backup Ya Midfield area ili tuongeze depth. Kwani Huwezi ukawa na Lallana ikisha ukasema una depth! Huo Ni uongo.
Auzwe tu...
 
Cheki hapa ratiba iliyobaki kwa kila timu na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.

LIVERPOOL

Msimamo: Nafasi ya Tatu

Pointi: 63

Mechi: 31

Ratiba mechi zilizobaki

Everton v Liverpool

Liverpool v Bournemouth

West Brom v Liverpool

Liverpool v Stoke City

Chelsea v Liverpool

Liverpool v Brighton

Jana Jumamosi walitarajia kumenyana na Crystal Palace huko Selhurst Park. Rekodi zao hapo juu ya mechi walizocheza, nafasi wanayoshika kwenye msimamo wa ligi pamoja na pointi walizovuna ilikuwa kabla ya mechi yao ya mapema kabisa ya jana. Liverpool wataingia kwenye mechi zao za Ligi Kuu England wakiwa na presha kubwa hasa kwa wiki ijayo ambapo watakuwa na kasheshe la kuikabili Manchester City kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ratiba yao kwa mechi zilizobaki kwenye ligi si nyepesi sana na hivyo kama mambo yatakwenda kama yalivyotabiriwa, basi wababe hao wa Anfield wanaonolewa na Jurgen Klopp basi wanaweza kumaliza msimu na pointi 76 ambazo zinaweza kuwatosha kumaliza ndani ya Top Four.
 
Towards the game on the day after tomorrow ..
Backline yetu hasa upande wa kulia wacheze kwa uelewano mkubwa i think itawork..

Wijnaldum namuamini sana kwenye big games..

I hope ataanza.. Cha msingi ile rotation ya mid wacheze kwa kwa pace sana
Its another game kwa Klopp ku apply the system ya Heavy Metal Football.. hii iliwafanya ata fcPorto waonekane very average!!
 
IMG_20180402_092430.jpg


Hii Mbinu Aliyoitumia Klopp Baada Ya Kuumia Lallana Kwenye Game vs Palce ya Kuchezesha Mabeki Watatu Matip-Lovren-VVD na Kuwafanya TAA na ROBO Kuwa Ni Mawinga Wa Kati badala ya Full Backs (3-3-2-2) imetusaidia Sana na upatikanaji Wa Goli la Ushindi kwani ilikuwa More attacking with heavy Bombardments.

Lakini Mfumo huu hautotufaa Kwenye Mechi vs Man City.
 
Towards the game on the day after tomorrow ..
Backline yetu hasa upande wa kulia wacheze kwa uelewano mkubwa i think itawork..

Wijnaldum namuamini sana kwenye big games..

I hope ataanza.. Cha msingi ile rotation ya mid wacheze kwa kwa pace sana
Its another game kwa Klopp ku apply the system ya Heavy Metal Football.. hii iliwafanya ata fcPorto waonekane very average!!


Hapo nilipo Bold Nahisi umekusudia Man City!

Mkuu Ukweli Ni Kwamba Gini Akiwa na Confidence Kama last Season Ni Mchezaji Mzuri Sana, Lakini Siku hizi amepoteza Confidence na Mchezo Ukikaza Kidogo tu basi anapotea Mchezoni.

Kwasasa Hakuna Jinsi Mido Zetu Ni Can-Hendo-AOC na iwapo Can Hatakuwa Fiti basi Ni AOC-Hendo-Milner.

Gini Anahitaji Kwanza Arudishe Confidence Yake.
 
Kocha Jurgen Klopp yupo tayari kuwasha ‘moto’ wakati Liverpool itakapowakabili Manchester City katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Jumatano.
Liverpool ni timu pekee iliyoifunga City katika Ligi Kuu msimu huu, iliposhinda 4-3 kwenye Uwanja wa Anfield Januari, lakini wanakumbukumbu ya kuchapwa 5-0 kwenye Uwanja wa Septemba mwaka jana.
Klopp alisema: “Utakuwa ni moto na kama nitaambia nichangue mechi ya kutazama ya Ligi ya Mabingwa basi hii itakuwa ni hii.

Ungefikiri kabla ya mechi ya kwanza tungeweza kufungwa 5-0? Hapana.
“Ungefikiri kabla ya mechi ya marudiani tungeshinda 4-3? Hapana.
“Je na sisi tuna nafasi katika mashindano haya? Ndiyo. Lakini wao ndio wanaopewa nafasi zaidi.”
Liverpool inakwenda katika mchezo wa kwanza kwa robo fainali wakiwa na hali nzuri baada ya Jumamosi kushinda 2-1 dhidi ya Crystal Palace wakiendelea kubaki nafasi ya tatu.
Klopp aliongeza: “Wakati huu tupo katika kiwango sawa.
"Lakini wenzetu wamekuwa na muendelezo mzuri na hiyo ndiyo sababu wapo kileleni mwa Ligi Kuu.
“Sina tatizo na hilo la kuheshimu hilo.”
 
Huwezi Kuamini Salah has made the whole of Egypt love Liverpool. Kila Chochoro unayopita Ndani ya Egypt basi utasikia Liverpool na Salah tu..

😀😀😀😀
Hiyo ni kawaida. Even Mahrez aliwafanya waAlgeria wengi waipende foxes na hata vijana wa kule ufaransa wa kitongoji cha le Havre. Mahrez amekuwa mentor wao mpaka aina ya unyoaji wanamwiga.

Salah kaongeza mashabiki wa Liverpool huko kaskazini mwa Africa. Zile pre season inatakiwa Liverpool badala kung'ang'ania kwenda huko Asia watumie hii nafasi kwenda mpaka Misri, Algeria Tunisia nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom