Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The only way we will score today is from a palace mistake. We've been awful. Slow passing. Henderson just goes side ways.
Slows the whole game down
 
Kwa Mara Nyengine na Leo [HASHTAG]#TAA[/HASHTAG] ametucost tena Kwenye Hii Game! Angelifanikiwa Kuwin Duels dhidi ya Zaha basi Karius asinge Concede Hile Penalty.
Sijengi Picha Siku ya Mechi na Man Nini atatutendea..
 
Our Midfield area needs serious change Manake Gini-Hendo-Milner bado Sana!
 
Wakuu Mimi clyne simuamini sana ila Naona Moreno(TAA) Is best than Moreno so ingependeza Kama Moreno angerudishwa kwenye kikosi

Mkuu umenifurahisha sana eti haumwamini clyne duh,badala yake unamwamini taa na moreno, hiyo kauliyako nikituko cha mwaka

Ila sio kosa lako unaonekana aungaliagi mechi zote za Liverpool.

Hivi unawahAmini hao wachezaji wako kwa lipi,maana mechi nyingi za Liverpool kungwa tatizo ni wao
 
Palce Wamestay deep kuvizia Long balls na Set pieces.
So, Ni Lazima Firmino afanye Jitihada Binafsi Ku-Unlock Defence yao! Hili litawezekana pale tu Midfields Zetu Zitakapocheza as attacking midfielders na sio Backwards and sideways Passes.
 
Nahisi Hata Hii Draw ya 1 - 1 sio Mbaya Sana Coz sitaki Tueke Pressure Kubwa Sana Katika Hii Game While We Have Man City next Wednesday.
 
MY PREDICTION

Gemu zetu 6 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-

6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)

Home (H) Ni 3 na Away (A) Ni 3.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 3 za Home na Kujikusanyia Points 9 na Katika Michezo 3 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 1 (WBA) na Kupoteza Mechi 2 (Everton & Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 10 Katika Hiyo Michezo 6.
Ukijumlisha Hizo Points 10 na 66 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 76.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..
 
POLENI NAONA MLIIONJA NAFASI YA PILI KWA NUSU SAA. LUKAKU NA SANCHEZ WAMESHAWARUDISHA NAFASI YENU 'YA ASILI' YA TATU
 
POLENI NAONA MLIIONJA NAFASI YA PILI KWA NUSU SAA. LUKAKU NA SANCHEZ WAMESHAWARUDISHA NAFASI YENU 'YA ASILI' YA TATU


Mkuu Usijisumbue Liverpool FC Haishindani Na Man United Katika Ligi Kwani Wakushindana Nae Ni Man City anayeoongoza Ligi na Si Man United.

Kutokana na Kuwa Man City hakamatiki Tayari ameshamaliza Ligi! Kwahiyo Sisi Tunapambana Kumaintain position yetu ya Top Four.

Kwahiyo Kama Unahisi Man United Anahitaji Nafasi Ya Pili ili Abebe Kombe pasi na Apambane Kwahiyo Nafasi Ya Pili.

As long as tupo Top 4 is enough for us kuhamishia nguvu Zetu Kule [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG].

Kama umekusudia Mapambano Basi Pambana na Man City anayeoongoza Ligi na sio Liverpool FC
 
Mkuu Jana Nilivizia Kwa Makini Press Conference Ya Klopp na Nikafanikia Kukutana Nayo Live! Nimemshuhudia Klopp Akisema Kuwa Can Hajataka £200K Bali ametaka £250K Lakini Bado Hapajaamuliwa Kitu na Mazungumzo Yanaendele (Klopp Said: "It was £250K! Nothing is decided. We are in talks so far.")

Kwahiyo Emre Can Kudai £250K kaluthibitisha Mwenyewe Klopp Hapo Jana kuwa Ni Kweli Lakini Pia Amethibitisha Kuwa Mazungumzo Bado Yanaendelea.
Hukusikia alivyosema its a joke???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom