Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

CB patner wa VVD awe nani kati ya Lovren n Matip?
Sababu Aguero hachezi nadhani Lovren anamuweza Jesus
 
CB patner wa VVD awe nani kati ya Lovren n Matip?
Sababu Aguero hachezi nadhani Lovren anamuweza Jesus


Kwa Kweli Hawa Lovren & Matip Ni Vigumu Sana Kujua Bora Ni Yupi Kati Yao Kwani Hata Klopp Mwenyewe Bado Hajajua Ni Yupi hasa bora kwa Kuanza.

Matip Baada ya Kuwa anakabiliwa na injury za mara kwa Mara basi Kapoteza Confidence na anafanya Makosa kadhaa ya kuweza Kuicost team!
Lakini Ubora wake dhidi ya Lovren unakuja Pale Katika Kucheza Mipira Ya Juu (Kwa Kichwa) jambo ambalo Matip anakuwa na Uwezo Mkubwa Wa Kucheza Mipira Hiyo.

Lakini Kuhusu Lovren Yeye Ni Mchezaji Katu Asiyefundishika na Asiyerekebishika! Anaweza Cheza Uzuri Michezo Mitatu lakini Akaja Akatucost Kwenye Mchezo Muhimu zaidi usiosahaulika! Kumbuka Kwa Everton, Sevilla na Man United.
Lovren Hajui Kukaba mtu wala kuintercept Mipira inayopenyezwa Ndani Ya Boksi kwa Mastrikers.

Udhaifu Mkubwa Wa Lovren Huyu Jamaa Hawezi Kabisa Kucheza Mipira Ya Juu Kiasi Ya Kwamba Hata Aruke na Mchezaji Wa Chandimu pale Mbagala basi Lovren hatoweza Kucheza kwa Kichwa Mpira huo. Hili Linasababishwa Kufungwa Magoli ya Kizembe Kwa Set-Pieces na Zile Cross.

Kwahiyo Mimi Nahisi Bora Game na Man City bora Aanze Joel Matip Kwani Anaonesha Ubora Kuliko Lovren.
Matip Hata Kuchezesha Mpira Kwa Viungo wake Ni Playmaker Mzuri sana Ukilinganisha na Lovren Ambaye Ni Mbutuaji tu anapopata Mipira.

Na mtu Hatari Mkuu sio Jesus! Ni Sterling na Leroy Sane!
Sterling akitokea Pembeni Basi Robertson Sina Wasi atamdhibiti, Na Akitokea Katikati Basi Ni Rahisi Zaidi VVD kumdhibiti..
Lakini Tatizo lipo Kwa Leroy Sane! Ukweli Ni Kwamba TAA hana Uwezo Wa Kumzuia Sane kwa njia Yoyote Hile.

• TAA alistruggle Kashindwa Kabisa Kumzuia Rashford.

• Pia Jana TAA kastruggle na Kashindwa Kabisa Kumzuia Wilfred Zaha Kiasi ya Kwamba Alikuwa Akimgeuza anavyopenda.

Sasa Nina wasiwasi na Leroy Sane atakuja Kutusababishia Madhara Makubwa Sana.
 
Jambo la muhimu hapa ni kwamba ,je mtaweza kuweka clean sheet nyumbani dhidi ya city?
 
LIVERPOOL PLAYER RATINGS

Loris Karius 6

A brilliant save to deny Zaha early on, but undid all his good work with the decision to rush out and bring down the winger to concede a penalty. Eventually calmed down and produced another fine stop from Van Aanholt.
 
Trent Alexander-Arnold 5

For Marcus Rashford, see Wilfried Zaha. A turbulent first half for the teenager, who was targeted by the home side with their diagonal balls in behind. Better in the second half, to his credit, against the tiring Ivorian.
 
Joel Matip 5

Needs to be helping out Alexander-Arnold more on that side, and his role in the award of the spot kick shouldn't be ignored. Let the long ball drift over his head and was otherwise poor with distribution.
 
Virgil van Dijk 7

A rare mistake from the Dutchman could have allowed Benteke to put Palace back in the lead, but it was the only blip on an otherwise assured performance. Even when those next to him struggle, his class is evident. Could have scored from a corner kick, too.
 
Andy Robertson 8

The likeliest source of something, anything, being created – and he finally come good late on, with a fantastic piece of control and clever ball to Salah for the winner. Brought energy and purpose, even when others were labouring.
 
Jordan Henderson 6

One of the poorer performers in the first half, but improved in the second half. Looked uncertain in possession and gave a few simple passes away, with some of his fine defensive work lacking. Covered the ground well.
 
James Milner 7

Always seemed to lose out in the odd game of midfield pinball but when given time to produce something tangible, he can. Played his part in the equaliser, and was the one communicating and instructing when the team were forced into a reshuffle.
 
Gini Wijnaldum 5

Very much one of 'those' performances on the road from the Dutchman, who didn't have any real impact on the game. Largely anonymous and an obvious candidate for the hook, which he received.
 
Mo Salah 7

Even when he's quiet, he wins matches. Stung the palms of Hennessey with a trademark curler and put in a few good deliveries from corners, but saved his real moment of quality when his side needed it most, prodding home Robertson's ball. World class.
 
Sadio Mane 7

An afternoon he won't forget in a while. Booked for diving and did make a meal of it, and should have been sent off after the referee awarded deliberate handball against him. In between that, he scored the equaliser, and led the charge for Liverpool to turn it around.
 
Roberto Firmino 7

The Brazilian didn't start with the same vigour to his pressing play as usual, and was restricted to restricted to pot shots. Once he warmed up however, he was pivotal, harassing and linking as he can do. Produced a sliding challenge from behind which was picture-perfect.
 
Alex Oxlade-Chamberlain 6 (on for Sadio Mane '64)

Did well when he came on and added a little bit of drive. Don't discount his intelligence on the ball when protecting a lead, taking the right option often.
 
Ukweli Usiopingika Ni Kuwa Msimu Ujao We need a replacement for Adam Lallana regardless Kama atauzwa au Hatauzwa.
Ukweli Lallana Ni injury prone na hawezi Kuunga tena kama ilivyo Kwa Sturridge! Kwahiyo Ni Lazima atafutwe Mbadala Wake Katika Backup Ya Midfield area ili tuongeze depth. Kwani Huwezi ukawa na Lallana ikisha ukasema una depth! Huo Ni uongo.
 
Mo Salah has now equalled Didier Drogba’s Premier League record as most goals scored in a single top flight season by an African player, with 29 goals.
 
James Milner vs Crystal Palace


√ 83% passing

√ 4 chances created - most on the pitch

√ 1 assist

√ 3/4 aerial duels

√ 2/7 tackles

√ 1 interception

√ 1 clearance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom