Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

22552596_1984678185142999_2135052696869041803_n.jpg

Meet Mohamed Salah:

√ First Liverpool Premier League hat-trick under Jürgen Klopp ⚽️⚽️⚽

√ First Premier League hat-trick at Anfield since 2013 ⚽️⚽️⚽

√ First Liverpool Premier League hat-trick since 2014 ⚽️⚽️⚽

√ First Egyptian to score a Premier League hat-trick ⚽️⚽️⚽

Look like Barcelona Bought the Wrong Player! The True Magician is in Anfield right now 😀😀😀
 
Gemu zetu 7 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-

7) √ Palace (A)
6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)

Home (H} Ni 3 na Away (A) Ni 4.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 3 za Home na Kujikusanyia Points 9 na Katika Michezo 4 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 1 (Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 12 Katika Hiyo Michezo 7.
Ukijumlisha Hizo Points 12 na 63 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..

CP SIO game ngumu
Everton ugumu wake unakuja sababu siku mbili baadae tunacheza replay na Man City!
Anyway UCL berth tayari ipo kibindoni na Man City ni bingwa wa EPL!
Tukutane Kiev!
 
CP SIO game ngumu
Everton ugumu wake unakuja sababu siku mbili baadae tunacheza replay na Man City!
Anyway UCL berth tayari ipo kibindoni na Man City ni bingwa wa EPL!
Tukutane Kiev!

CP nimeitabiria Sare Kwasababu Hatuna Historia nao Nzuri Miaka Ya Hivi Karibuni Hususani Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani.

Vile Vile Hawa Tutacheza Nao Jumamosi 31/03/2018 Wakati #CL tutacheza Jumatano Ya 04/03/2018, So, Hapo Ni Mpishano Wa Siku 3 tu ikiwemo Safari Ya Kutoka London Kwa CP mpaka Liverpool, Na Kutoka Liverpool Mpaka Manchester.
Nahisi Klopp atalegeza Kwa CP ili akaze Kwa Man City.

Hata Hivyo Huo Ni Mtazamo wangu tu.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
4 - Mohamed Salah is the first Liverpool player to score four goals in a single Premier League game since Luis Suarez versus Norwich in December 2013. Fab.
 
Luis Garcia on Mo Salah: After Mohamed Salah scored four times in Liverpool's 5-0 win over Watford on Saturday, Luis Garcia was quick to praise the selfless side to the Premier League's top scorer.

Salah took his goal tally to a peerless 28 for the campaign, but he also set up Roberto Firmino to score.

According to Garcia, this ninth assist of the season is a sign of the Egyptian's willingness to shine the spotlight on others and not just take the glory himself.

"He's a very kind guy, who tries to look after his team-mates," said Garcia, the former Liverpool winger. "You can see his team-mates always celebrate the goals with him, they're very close to him.

"And it showed during the performance today, trying to give assists to the other players.

"That is not greedy. He's not selfish at all, he wants the team to perform and to score goals."
 
IMG_20180318_180917.jpg

Last Season Twitter Kwa Loris Karius ilikuwa Kama Kaburi manake Anaogopa Hata Kuretweet chochote Kile Kwa Kukimbia Reactions Za Mashabiki Wa Liverpool FC , Lakini Siku Hizi Tokea a-improve basi amekuwa Mauzo Kwelikweli Huko Twitter! Muda Wote Yupo Online anapost vitu na Kupokea Positive responses.. 😀😀😀😀
 
Danny Ings Ameingia Dakika Ya 79' Na Amefanikiwa Kupiga 2 shots on Target ambayo Moja inahesabika Kuwa Ni Assist Kwa Goli la 4 la Mo Salah.

Kwahiyo Nahisi Huyu Danny Ings iwapo atapatiwa Mechi Kadhaa ili apate Game Fitness basi Next Season Atakuja Kuwa Best Back up Ya Firmino Kwani Impact Yake imeonekana.
 
Screenshot_20180318-184027.png

Hili tatizo la Kuto Kucheza Mipira Ya Juu (Aerial Duels) limekuwa Ni Gangrene Kwa Joseph Gomez!

Yaani Hapa Mpira alikuwa ana Nafasi Ya Kuucheza Kwa Kichwa Lakini still Kashindwa Hata Kuruka na Akabakia Anamtazama tu Adui Yake Akiucheza Mpira hatimae Umakini Wa Karius ukafuta Makosa.

Ni Magoli Siku Ya Sevilla 3 -3 alitufungisha Kwa Kushindwa Kucheza Mpira Wa Juu, Na Siku Ya Arsenal 3 - 3 pia alitufungisha Goli La Mpira Wa Juu Kwa Sanchez, Na Jana Ndiyo tumekoswakoswa Mpira Wa Kichwa Kupitia Yeye.

Ni Mzuri Kwa Kukaba Mipira Ya Chini, Lakini Kwa Mipira Ya Juu Ni Tatizo Kubwa Kwake Kama ilivyo Kwa Lovren.

Anahitajika Abadilike.
 
magoli yote mawili yamesababishwa na lovren halafu sijui klopp hataki kudeclare kuwa lovren ndio wakulaumiwa
toka aingie van gaal ktk mech za ligi liverpool ushindi wake ni droo ukiwa unaandika haya ukumbuke pia hilo
 
Danny Ings Ameingia Dakika Ya 79' Na Amefanikiwa Kupiga 2 shots on Target ambayo Moja inahesabika Kuwa Ni Assist Kwa Goli la 4 la Mo Salah.

Kwahiyo Nahisi Huyu Danny Ings iwapo atapatiwa Mechi Kadhaa ili apate Game Fitness basi Next Season Atakuja Kuwa Best Back up Ya Firmino Kwani Impact Yake imeonekana.
honestly i prefer Ings kuliko Lalana japo wanacheza nafasi tofauti but this young lad seems to ready now baada ya majeraha ya muda....
 
View attachment 718761

Hili tatizo la Kuto Kucheza Mipira Ya Juu (Aerial Duels) limekuwa Ni Gangrene Kwa Joseph Gomez!

Yaani Hapa Mpira alikuwa ana Nafasi Ya Kuucheza Kwa Kichwa Lakini still Kashindwa Hata Kuruka na Akabakia Anamtazama tu Adui Yake Akiucheza Mpira hatimae Umakini Wa Karius ukafuta Makosa.

Ni Magoli Siku Ya Sevilla 3 -3 alitufungisha Kwa Kushindwa Kucheza Mpira Wa Juu, Na Siku Ya Arsenal 3 - 3 pia alitufungisha Goli La Mpira Wa Juu Kwa Sanchez, Na Jana Ndiyo tumekoswakoswa Mpira Wa Kichwa Kupitia Yeye.

Ni Mzuri Kwa Kukaba Mipira Ya Chini, Lakini Kwa Mipira Ya Juu Ni Tatizo Kubwa Kwake Kama ilivyo Kwa Lovren.

Anahitajika Abadilike.
na pia mechi ya Man cty alishindwa kabisa kusoma game namna ya kumkaba Sane....japo mechi ya juzi ameonyesha improvement ila huyu ndogo kwa mechi kubwa hatufai kabisaaa
 
[HASHTAG]#VVD[/HASHTAG]

The matchwinner conceded at Swansea City in January from a corner is the only goal the Reds have shipped from a dead ball in their last 22 Premier League games, an improvement that has continued with the aid of Van Dijk's undoubted aerial prowess and physical presence.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom