Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kuna mtu anakwambia MO Salah is the best Muslim attacker since Osama bin laden
😀 😀 😀 😀 Huu Utani Mwengine bhana
Kuna mtu anakwambia MO Salah is the best Muslim attacker since Osama bin laden
Ombeni WC18 aboronge. Aki-shine tu, Real Madrid hao wanabisha hodi.View attachment 718029
Mo Salah vs Watford
√ 3 chances created
√ 1 assist
√ 4 shots
√ 4 goals!
√ 5/9 take-ons
√ 1/1 aerial duel
√ 1/1 tackle
√ 1 interception
Ha ha ha ha ha...Kuna mtu anakwambia MO Salah is the best Muslim attacker since Osama bin laden
Klop alichelewesha hat trik ya salah na pengne angekuwa kamwacha mbali sana Harry kitambo endapo angekuwa hafanyiwi subMo Salah has become the first Liverpool player to score a Premier League hat-trick under Jurgen Klopp.
Kabisa!Klop alichelewesha hat trik ya salah na pengne angekuwa kamwacha mbali sana Harry kitambo endapo angekuwa hafanyiwi sub
Hapo unazungumzia Liverpool ya kipindi gani na Man City ipi? Nyoosha maelezo nani anambahatisha mwenzie kwa sasa?
Liverpool hii nilikwambia ile siku ni genge la wahuni watatu imfunge Man City?
Unajua Liverpool toka hatua ya makundi mmepita kwenye kundi mama mama na Porto nao vile vile?

kalou hebu niweke sawa hapa,hii draw huwa inapangwa au ni bahati tu ya nani kupangiwa nani?
Hizi porojo zote Mara za ratiba Mara za msimamo Wa league ni kuficha ukweli na madhaifu yenu. Kuwa mtakufa na mkikaa ovyo mtakufa nyingi.
Nyie ingie uwanjani kukamilisha ratiba ya UCL pamoja na kupunguza aggregate hamna kingine.
Liverpool kufa kwa Man City ni jambo lisilo epukika wala kupingika.
Kila la kheri katika kukamilisha ratiba.