Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tayari Ameshampita Kwa Magoli 4 Na Kwa Michezo 7 iliyobakia Wakati Ndiyo Kwanza Anaugulia Maumivu ambayo Haijuilikani atarudi lini! Nahisi Kane Mzee Wa Kuotea na Kudive Asubirie Msimu Ujao.
Hata kama angekuwepo, Salah ni moto!
 
1521316499432.jpg
 
Mechi ijayo ntakuja hapa kukugesabia point nyingine mtakayopoteza.


Mdogo Wangu Bavaria Kweli Hujavunja Sheria za #JF katika Kuandika Mawazo Yako Hapa! Lakini Kubali Kuwa Wewe Fani Yako Ni [HASHTAG]#Nage[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Udako[/HASHTAG]... Mpira na wewe Ni Vitu Tofauti Hamuendani Kabisa Tuachie wenyewe Usijilazimishe Kujadili Kitu usichokijua.
Haya Njoo kama Ulivuoahidi Kuwa Utakuja.
 
Sifa Ya Pekee Kwa [HASHTAG]#Anfield[/HASHTAG] Msimu Huu Wa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Ni Kuwa Hapamuachi Mtu Salama!

Tumeshacheza Michezo 18 ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] na Hatujafungwa Hata Mchezo Mmoja!

Tumeshinda 11 na Tumetoka Sare Michezo 7.

Anfield is Invincible
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom