fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,220
- 9,259
Ni kama bahati tu
Maana vimipira vinazungushwa kila mtu anaona lakini vinakuwa ndani ya bakuli la glasi
Mtu anakuwa anachanganya hiyo mipira anachukua mmoja wakwanza kutoka ndio anakuwa nyumbani
Lakini mipira ni michache 8 tu kwa mtu kumpanga na kumark ile mpira ni rahisi kama wao kweli wamepanga wanaweza maana hawatashindwa ,mipira ya Liverpool na man city ilikuwa ya mwisho kabisa.
basi jamaa hawakuwapendelea spain na timu zao kama ni inshu ya bahati
