Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 612
Porto ni mama tatizo lako unataka majina makubwa sio mpiraHapo unazungumzia Liverpool ya kipindi gani na Man City ipi? Nyoosha maelezo nani anambahatisha mwenzie kwa sasa?
Liverpool hii nilikwambia ile siku ni genge la wahuni watatu imfunge Man City?
Unajua Liverpool toka hatua ya makundi mmepita kwenye kundi mama mama na Porto nao vile vile?
Porto kampiga Monaco 5 unasema mama
Just because kafungwa na Liverpool unajisahaulisha man city nae kafa anfield ,alishinda game ya kwanza we mwenyewe unajua kadi nyekundu ndo iliharibu mechi maana angekaa vilevile.
City ujanja wake wote sio kwa Liverpool