I disagree mkuu.Arnold hafai kabisa kuanza mechi kubwa ataendelea kutupa maumivu kama klopp atakua mbishi kwa hili
This is the spirit..."It was a difficult afternoon for young Trent Alexander-Arnold but this wasn't a day for finger pointing or scapegoats"
Mzee si ulisema Can alimfunika Scott why unampa rating 5/10 ?Emre Can 5
Didn't provide much of a shield to the back four and hasn't helped the tempo, when playing in the role where he should be doing both. Improved in the second half and looked to penetrate, but United stood firm.
I disagree mkuu.
Dogo kacheza mechi ngapi na kaharibu ngapi? Mimi naona dogo aendelee kupewa nafasi, hakuna mtu asiyekosea kwenye mpira...after all leo timu nzima haikupress kama inavyofanyaga siku zote!
Nimepende ulivyo maliziaKlopp amekosea sana tena sana kumtoa AOX alivyorudi vizuri kipindi cha pili, ningetegemea amtoe Milner na sio AOX.
Milner hana kiwango cha kucheza mechi ya leo, angeanza tu gini.
Klopp p amezidiwa mbinu leo, Mourinho katika tactic iliyomuweka juu leo ni Kuua movement zoote za forward zooote tatu.
All in all, dogo Rashford ni mchezaji chipukizi mwenye kipaji na akili.
Mzee si ulisema Can alimfunika Scott why unampa rating 5/10 ?
Mzee si ulisema Can alimfunika Scott why unampa rating 5/10 ?
rating za ndani anapewa 5 so za nje zinaongezeka anapewa 7/8/9 ?Hizi Ni Rating za Ndani Ya Timu Yetu Kwa Wachezaji Wetu tu kulinganisha mmoja na mwengine na sio Kulinganisha Wetu na Wenu lazima ifahamu hilo.