Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ivi wakuu shughuli ya milner pale kati akianzaga yeye lazma tumpe mtu nyingi nani kaliona hilo!!!
labda umri nao tatzoHii game ya Pili anacheza uzuri lakini Hana Consistency! Unaweza Kukuta Michezo inayofuata Anacheza Vibaya usivyotegemea.
Mfia maji hachi kutapatapa.....Malafyale huu sasa umekuwa ni wimbo wako wa taifa kila kukicha unajifariji ohoo Mara kloop alikuta timu mbaya. Mbona huu simu liver wapo on fire lakini kwenye vikombe vya mbuzi katolewa zote?Hapo special ni Ranieri tu ambapo alicho kifanya hutokea kila baada ya miaka 30!
Conte aliitithi team gani?
Unaifananisha Conte’s team na Liverpool aliyo ikuta Klopp?
Mourihno kutumia Milion 300 anakupa Yuropa na FA ndiyo tunamjadili hapa?
Pep alipokuja kapata kombe gani?Pep aliikuta team mbaya kama Klopp?
Kocha gani unayemjua wewe angeipa Liverpool ile nafasi ya CL hata kuwashinda Man United na Arsenal?
Klopp apewe heshima yake!
he has four goals in two games... positiveMane:
Kafunga Goli Moja!
Kacheza Vizuri leo!
Angelikuwa Makini Angeondoka na Hat-Trik!
Hayupo Katika Form Yake Ya Last Season!
Amepoteza Shabaha Ya Ufungaji!
Hana Pace tuliyoizoea!
Ni Mchezaji Mzuri na Muhimili Kwenye Timu Yetu..
I thought partnership ya Lovren na VVD iko better kwasababu ya pace na arrangementsMy First XI:
Karius
Clyne
Robbo
Matip
VVD
Can
Gini
AOC
Salah
Bobby
Mane
Subs:
Migno
Lovren
TAA
Moreno
Hendo
Lallana
Ings
he has four goals in two games... positive
More careful with his movements na sprint, inapunguza risks za injuries --- Klopp is working on him... Positive
Poor first touches... Needs improvement
Celebrated his goal.... positive
Excellent movements off the ball.... positive
trying too hard hadi anakosea (perfectionism)... not negative
If he scores in the next two games, form yake itarudi
Mane Akirudi Katika Form, No one will stop us
I thought partnership ya Lovren na VVD iko better kwasababu ya pace na arrangements
Nawatakia Chelsea ushindi mnono leoKila la kheri Chelsea!
Good! 3points, 3goals (GD), 57Points (Tot), 2nd Position.
Hahahah mie Jana kanifurahisha ile style ya kushangilia kwa kurusha miguu roughly kama firmino gemu ya PortoMane kacheza vzr. Kagonga post three tmes
Kimahesabu imekaa poa sana!Chelsea ana point 53 Man U 56, bora Chelsea ashinde ili Man U atulie.
Chelsea ana point 53 Man U 56, bora Chelsea ashinde ili Man U atulie.
Nawatakia Chelsea ushindi mnono leo
Mkuu chelsea akishinda huwa anapata points ngapi? Maana saivi ana 53 then ashinde awe na 57?Wakuu Mimi Kidogo Ninatofautiana Kimawazo na Nyinyi!
• Manure ana 56points
• Chelshit ana 53points
Chelshit akishinda atakuwa na 57points ambazo atalingana na sisi.
Na Kama utaangalia Kwa Makini basi Chelshit Ni More dangerous Katika Msimamo wa Ligi compared to Manure!
That is why nikahisi Sare itakuwa more comrfortable kuliko Chelshit Kushinda.
Na Ukweli uliowazi Ni Kwamba Chelshit Kwa Sasa hana uwezo Wa Kumfunga Manure.
Mkuu leo umeandika kichinaWakuu Mimi Kidogo Ninatofautiana Kimawazo na Nyinyi!
• Manure ana 56points
• Chelshit ana 53points
Chelshit akishinda atakuwa na 57points ambazo atalingana na sisi.
Na Kama utaangalia Kwa Makini basi Chelshit Ni More dangerous Katika Msimamo wa Ligi compared to Manure!
That is why nikahisi Sare itakuwa more comfortable kuliko Chelshit Kushinda.
Na Ukweli uliowazi Ni Kwamba Chelshit Kwa Sasa hana uwezo Wa Kumfunga Manure.

Matip is a better defender, lakini physical games zinamsumbuaNi kweli anapocheza VDD na Lovren, VVD anakuwa yupo free na more comfortable zaidi ukilinganisha akicheza na Matip.
Lakini Mimi Huwa Simuamini Lovren kwani Muda wowote anaweza kufanya Mambo yake.
Mkuu chelsea akishinda huwa anapata points ngapi? Maana saivi ana 53 then ashinde awe na 57?