Yupo Vizuri na Kwa Kasi anaimaster Position ya Defensive Midfielder!
Ni uzembe Klopp atakao ujutia iwapo atamruhusu aondoke Bure bila Ya Kufikia Muafaka wowote.
Can ninamkubali sana.
Simpi kosa lolote Kwa Move ya Goli tulilofungwa Kwani Kabla ya Kuupoteza Mpira Ni Kwamba alifanyiwa Foul.
Anastahiki Kuanza Mbele Ya Hendo.
Kwakweli Leo Ameonesha Uwezo Wa Hali Ya Juu Kiasi Ya Kwamba Yupo More Offensive than Holding or Playmaker!
Ninampa AOC credit kwa Goli La Mo Salah Kwani Amefanya Kazi Kubwa ya Kulipika.
Hata Hivyo Bado sijampa Nafasi Ya Kuanza Mbele Ya Gini.
Millie:
Amecheza Vizuri Kiasi na Mchango Wake umeonekana lakini Umri unaenda Kumuacha Mkono.
Si Mchezaji wa Kuwa Regular Starter lakini Bado tunamuhitaji Kama Ni Backup ya Multiple position (Fullback, Central Midfielder and Winger).
Mo Salah:
Amefunga Goli Moja!
Ametoa Assist Moja!
Bado anaendeleza Consistency na Muhimili Madhubuti Kwa timu yetu!
Anaweakness mbili;
1) Kutokucheza Mipira ya juu (Kwa Kichwa), na Hata Anaporuka Kichwa huwa Ni cha Kubahatisha.
2) Nafasi Nyingi anazopoteza ukilinganisha na anazogunga.
Ninamkubali Yupo Vizuri! Njia Pekee Ya Kuweza Kuwa naye Kwa Muda Mrefu Ni Kushinda Makombe! Msimu ujao tusiposhinda Kombe lolote basi ataondoka.
Firmino:
Kafunga Goli Moja!
Amemaintain Consistency!
Yupo Vizuri na Kaonesha Mchezo Mzuri Kwa leo!
Angelikuwa Makini Leo Angeondoka na Hat-Trik..
Naye Ni Muhimili Wa Timu Yetu!
Ni King Of Pressing.
Mane:
Kafunga Goli Moja!
Kacheza Vizuri leo!
Angelikuwa Makini Angeondoka na Hat-Trik!
Hayupo Katika Form Yake Ya Last Season!
Amepoteza Shabaha Ya Ufungaji!
Hana Pace tuliyoizoea!
Ni Mchezaji Mzuri na Muhimili Kwenye Timu Yetu..
Commentator Wa Channel niliyokuwa Ninastream alisema Kila Evra anapokuwa na Mpira Mashabiki Wa Liverpool walikuwa Wanachanting Jina la Evra! Nikaskiliza Kwa Makini Nikagundua Ni Kweli!
Hii sio racism?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.