Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Who cares?
Kuna watu wana akili mbovu kweli kweli ktk jukwaa hili aisee!
Klopp is right man to lead Liverpool,wewe na wenzako hawa wachambuzi uchwara hamna point hata moja ya maana!
chief, tutaendelea kukupiga darasa hadi uelimike kuhusu what it takes to be a RED. utaelewa tu!

Klopp wetu....
msimu wake wa 3.
madirisha zaidi ya 4 usajili.
zero trophy.

VS

Conte = EPL first season
Maureen = 2 trophies first season
Pep = 2nd season (EPL in the bag)

oh, just before I forget... remember a certain Ranieri?

[HASHTAG]#silverwareisLFCdna[/HASHTAG]
 
Hapo special ni Ranieri tu ambapo alicho kifanya hutokea kila baada ya miaka 30!
Conte aliitithi team gani?
Unaifananisha Conte’s team na Liverpool aliyo ikuta Klopp?
Mourihno kutumia Milion 300 anakupa Yuropa na FA ndiyo tunamjadili hapa?
Pep alipokuja kapata kombe gani?Pep aliikuta team mbaya kama Klopp?
Kocha gani unayemjua wewe angeipa Liverpool ile nafasi ya CL hata kuwashinda Man United na Arsenal?
Klopp apewe heshima yake!
 
hakuna asiyemheshimu Klopp. he's a cool coach - his pedigree is indisputable. that's why we all backed his recruitment.

but it's LFC we're talking about here my friend. we need metals in our cabinet yesterday not tomorrow!

Klopp must be made aware that from Dortmund to LFC was a long shot and significant step up for him. he has to deliver quick or else!

[HASHTAG]#silverwareislfcdna[/HASHTAG]
 
Ni kama kumpigia mbuzi gitaa

Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.

chief, tutaendelea kukupiga darasa hadi uelimike kuhusu what it takes to be a RED. utaelewa tu!

Klopp wetu....
msimu wake wa 3.
madirisha zaidi ya 4 usajili.
zero trophy.

VS

Conte = EPL first season
Maureen = 2 trophies first season
Pep = 2nd season (EPL in the bag)

oh, just before I forget... remember a certain Ranieri?

[HASHTAG]#silverwareisLFCdna[/HASHTAG]

↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.

Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.

[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]
 
Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.

↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.

Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.

[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]

Mwenye akili timamu ataandika utumbo kama wenu kujiona mnajua soccer management kuliko Klopp?
Wewe na kundi lako ni wapuuzi tu!
Hamjui lolote zaidi ya thread ndefu zisizo na weledi wowote ule!
Pumbavu
 
hakuna asiyemheshimu Klopp. he's a cool coach - his pedigree is indisputable. that's why we all backed his recruitment.

but it's LFC we're talking about here my friend. we need metals in our cabinet yesterday not tomorrow!

Klopp must be made aware that from Dortmund to LFC was a long shot and significant step up for him. he has to deliver quick or else!

[HASHTAG]#silverwareislfcdna[/HASHTAG]

Upuuzi ungine huu!
Wala mijitu haijui Klopp alikaa muda gani BVB na akachukua makombe mangapi!
Mmeanza hata kukataa maandiko yenu ya kipuuzi kama mchezaji wa Liverpool yyt yule hawezi cheza Barca!
Liverpool ipo mikono sahihi lkn nyie mbilikimo wa uchambuzi wa soka mnao jua zaidi ya Klopp mnataka kutuaminisha ujinga wenu
 
Vijana acheni matusi muwe na heshima...

Sorry mkuu!
Lkn mm sikuanzisha matusi hapa,hawa na kundi lao much know kuhusu Liverpool ndiyo wameanzisha!
Hawajui lolote kuhusu soka lkn wanatuaminisha wao wanaijua Liverpool kuliko hata Klopp!
Shubakengemiti!
 
Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.

↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.

Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.

[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]

Huwezi nifungia hapa wewe mwehu!
Unachoweza ni kufanya nisisome posts zako na kundi lako uchwara jambo ambalo nitafurahi sana!
Mnatujazia tu thread na uchambuzi wenu usio na maana yyt ile zaidi ya porojo!
 
no worries MosDef , your sentiments represent those of the majority on this platform.

views from certain supporters border on nothing bar insanity!

The Gang of PTSD who doesn’t know nothing about soccer
Klopp mnamtukana sana wkt hamjui lolote lile!Kuna mandiko yenu hapa ya hovyo sana kuhusu Liverpool LKN alikosekana mtu wa kuwaambia ukweli mnajiona nyie ni Mungu-Watu hapa!
Stupidy!!
 
Upuuzi ungine huu!
Wala mijitu haijui Klopp alikaa muda gani BVB na akachukua makombe mangapi!
Mmeanza hata kukataa maandiko yenu ya kipuuzi kama mchezaji wa Liverpool yyt yule hawezi cheza Barca!
Liverpool ipo mikono sahihi lkn nyie mbilikimo wa uchambuzi wa soka mnao jua zaidi ya Klopp mnataka kutuaminisha ujinga wenu
wee dogo ndiyo maana wenzio wanakutukana ovyo. nilitaka kuanza ku sympathise na wewe lakini naona kuna tatizo kubwa kuliko ninavyofikiri.

ninajua unahitaji kuelimishwa mambo mengi lakini hujajipa nafasi ya kuelimishwa na wanaojua vitu kukuzidi. dogo, ujinga si kitu kibaya - ni opportunity ya kuongeza ujuzi.
kubali udhaifu ulionao ili ujifunze na ku mature.

nawafahamu sana Wanyaki. nahisi wewe ni wa Kyela kwani wa Rungwe hawapo hivyo. upo ki Mwakyembe Mwakyembe design!
 
Don’t argue with these PTSDs creatures
Don’t argue with the fools!
Sitawajibu tena nyie ni wa kuwapuuza tu!
Let me enjoy very entertaining football from Klopp
We are Liverpool
Viva Klopp
Nafunga mjadala kuhusu hili genge uchwara
 
usikimbie dogo.
wewe bado ni mwanafunzi wangu. we need each other.
hang around...nataka uelimike dogo.
 
Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.

↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.

Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.

[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]
Siungi mkono hii hoja. Malafyale yupo hapa jukwaani kitambo kuliko wewe. Kumweka kwenye ingore list si kumzuia kutoa maoni yake. Mie naheshimu mawazo ya wote. Kama upendezwi na aina ya coments zake basi mpotezee tu.

Al tast we all remain REDS.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Mkuu za siku mingi!
Nakuhakikishia tu mm sitoki hapa na hamna wa kunitoa!
Nitakuwepo na nitaendelea kuchangia na nitaikosoa Liverpool na Klopp kwa haki sio kwa chuki kama wao!
Liverpool tupo mikono salama na luckly kuwa na Klopp!
 
Word mkuu. Nakukumbuka sana mkuu enzi za kina Tisha-TOTO. Wengine wamekuja juzi tu hapa wanataka kuuteka uzi na kuwa mali yao. Hii ni freeforum. Tunakosoa, tunashauri na hata kusifia.

Mwisho tunabakia wote kopites

Hii forum ya Liverpool lzm niingie kila siku hata kama sijaandika lzm nisome wenzangu wameandika nn!
Kundi hili ambalo kwao Klopp hajui kitu zaidi yao lisipo kemewa tutakuwa na forum ya ajabu kweli kweli
 
Siungi mkono hii hoja. Malafyale yupo hapa jukwaani kitambo kuliko wewe. Kumweka kwenye ingore list si kumzuia kutoa maoni yake. Mie naheshimu mawazo ya wote. Kama upendezwi na aina ya coments zake basi mpotezee tu.

Al tast we all remain REDS.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]

Ni Kweli Yupo Mwanzo Hapa Kwenye Thread, Lakini Ninauhakika na Ninaamini Kuwa Mimi Nimeifahamu Mwanzo Liverpool Kuliko Yeye Kwani Kujiunga #JF Mwanzo Haimaanishi Kuwa Ndiye Ulieijua Liverpool Mwanzo!
Mimi Nimeanza Kuishabikia Liverpool Miaka 17 kabla ya Kujiunga na #JF.

BTW:
Ukweli Ni Kwamba Sikusema Hivyo Kwasababu Tumetofautiana Mawazo! Sisi Tunakubali Mitazamo tofauti Na Wengine, Lakini Yeye [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] Ndiye anaekataa Mitazamo Yetu!

Mfano: Sisi Tunapost Mijadala Kuhusu Timu, Wamiliki na Kocha wetu na Wakati Mwengine Tunalaumu mienendo Yao! Na Wala Hutukuti Humu Kukaa Kumdiscuss Member au Kumpiga Vijembe.

Timu inaposhinda au Kupoteza Mchezo Tunalenga Maoni Yetu Kwa Timu na Kocha.

Lakini Yeye Cha Ajabu Muangalie Posts Zake! Zote utakutia Ni Mipasho, dharau na Majungu Kwa Sisi Tunaokosoa Mienendo ya Timu.

Mfano Timu Ikishinda haji Kuchambua Ushindi! Bali anakuja na PERSONAL ATTACK Kwa Baadhi Ya Member Humu Kama vile, [HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG], MosDef , koncho77 , M-mbabe n.k.

Sisi Tunakubali Challenge za Mpishano Wa Kimawazo Kwa Members wote Humu! Lakini Yeye Hakubali Challenge zetu!

Hebu angalia Comments zake kweli Ni za Kimpira?
Kwanini atuattack sisi member wenzie?

Maneno Kama Wachambuzi uchwara, Upuuzi, Kutulabel Kuwa Tunajifanya tunaijua Liverpool kuliko Klopp, na Mengine Mengi hayo si maneno ya Kisport!!

Mbona Sisi Timu inaposhinda au Kupoteza Mchezo Hatutafuti Member Humu kwenye Thread Tukamnyooshea Kidole! Wala Hatuleti Mipasho Kwa Member Wengine?

Hebu pitia post zake Alizoziandika Baada Ya Mechi ya Liverpool na FC Porto uone Mipasho na Vijembe anavyopiga Kwa Member wenziwe!

Sasa Mtu anayejikita kwenye Mipasho badala ya Kujikita Kwenye Uchambuzi unahitajika ufanyeje badala ya Kumdharau?

Mimi Sipingani na Mtu tunayetofautiana Kimawazo! Bali Siendani na Mtu anayenishambulia Kwa Kutofautiana nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom