Chelsea amfunge Man u .Atapata pwenti 26. Majogoo tunazo 27.
Mashetani watabaki na 26.
Tutakuwa runners!
Kwa mdundo huo confidence ya wachezaji itaongezeke. Mahasimu wetu watapoteza morali.
Go liver go
Firmino pia anajitaji apumzike...huyu Robertson kwa kweli ni usajili mzuri sanaMatip is a better defender, lakini physical games zinamsumbua
Robertson pia needs some rest, jana alikua anafanya basic mistakes za positions mnoo, without VVD na Milner kusaidia, jamaa wangetuotea
Ndiyo maana mchawi hawezi kuwa na maendeleo na maisha mazuri hata siku moja.Chelsea kachemka huko kazi tuliyomtuma!
Hahahah ngoja nimalizane na new castle next week then nije nikuwangie hapo hapo old Trafford make nileyemtuma umetungua ungo wake!Ndiyo maana mchawi hawezi kuwa na maendeleo na maisha mazuri hata siku moja.
Mkuu timu yako haiwezi shinda old trafford miaka hii.huu ndio ukweli mchungu kama unabisha sawa.hata chelsea niliwaambi kuwa mutashinda kwenu lakini siyo OT.Hahahah ngoja nimalizane na new castle next week then nije nikuwangie hapo hapo old Trafford make nileyemtuma umetungua ungo wake!
10th March 2018 save the dateMkuu timu yako haiwezi shinda old trafford miaka hii.huu ndio ukweli mchungu kama unabisha sawa.hata chelsea niliwaambi kuwa mutashinda kwenu lakini siyo OT.
Ntakukumbusha siku hiyo make nina uhakika biashara nakuja kumaliza hapo hapo kwenu!Mkuu timu yako haiwezi shinda old trafford miaka hii.huu ndio ukweli mchungu kama unabisha sawa.hata chelsea niliwaambi kuwa mutashinda kwenu lakini siyo OT.
Huwezi wewe !mara ya mwisho kushinda OT ni lini? Au nokuwekee vichapo vyako na video zake!Ntakukumbusha siku hiyo make nina uhakika biashara nakuja kumaliza hapo hapo kwenu!
Ntakukumbusha siku hiyo make nina uhakika biashara nakuja kumaliza hapo hapo kwenu!
Ntakukumbusha siku hiyo make nina uhakika biashara nakuja kumaliza hapo hapo kwenu!
Achana na history angalia my current forwards ni tishio hapo England na ulaya kwa ujumla ugonjwa wng wa beki asaiv kushney VVD kaleta chemistry Fulani amazing so lazima nikukalishe tu!Huwezi wewe !mara ya mwisho kushinda OT ni lini? Au nokuwekee vichapo vyako na video zake!
Kwaheri nimekuletea mpaka takwimu lakini bado hutaki! Pale ni OT ,huwa unapigwa 3,2 nk!Achana na history angalia my current forwards ni tishio hapo England na ulaya kwa ujumla ugonjwa wng wa beki asaiv kushney VVD kaleta chemistry Fulani amazing so lazima nikukalishe tu!