Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Robertson Game baada ya Game anazidi Ku proving day Moreno tuache kidogo
 
Mane kacheza vzr. Kagonga post three tmes

Ndiyo Binafsi Nimemuona Kacheza Uzuri lakini si Katika Ubora Wake!
Siye yule Mane Wa Last Season!
Tazama Hile Nafasi aliyokwenda Na Kipa One for One hatimae kaupiga Mpira Nje...
Anapoteza Nafasi Za Wazi...
Hata Pass accuracy Yake Ni ndogo sana kwani Anapoteza mipira.
 
Loris Karius: Amemaintain Consistency na Confidence Yake..
Amecheza Vizuri.
Amejirekebisha Kwenye uanzaji Wa Mipira...
Kwakweli Yupo Poa sana he is going to be a New Oliver Kahn.
 
TAA: Dogo Anaimprove game after game! Kacheza Vizuri tu! Anashambulia na Ni mwepesi Wa Kurudi Kukaba..
Weakness Yake ipo Kwenye Kutia Cross, Huwa Mpira ya Kross inavuuka upande Wa Pili ya Goli na Kuishia Kuwa Goal Kick au Throw in..
Anastahili Kucheza yeye Mbele ya Gomez.
 
Robbo:
Ametoa Assist Moja!

Dogo Yupo Vizuri na Ni Miongoni Mwa Wachezaji Walimaintain Consistency Kwa 100%...
Ana Pace nzuri Kwenye Kushambulia na Kulinda..
Weakness Yake Ni Kwenye Kutia Cross huwa Sio Maranyingi Kumlenga Mtu au Kuilenga Sehemu ya Washambuliaji wetu..
Kwahiyo Tatizo La upigaji Cross Ni la Fullbacks zetu zote mbili.
Anastahili Kuanza Mbele ya Moreno.
 
VVD & MATIP: Wamecheza Vizuri na Bado sijaona Has a Kosa lao Kwenye Goli tuliloconcede kwani ilikuwa Ni Counter attack ambayo ilianzia Kwa Emre Can.
Lakini Bado Partnership yao Haijawa sawa..
Hata hivyo wanahitaji Muda ili Waweze kuwa Sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom