Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tokea Robert Firmino aekewe Kipengele cha "Release Clause" katika Mkataba Wake! basi Liverpool imeondosha mpango Wa Kueka Kipengele hicho katika Mikataba ya Wachezaji Wake na Haiko tayari Kueka Kwa Mchezaji Yoyote yule kwa Kuhofia Yasije Yakawafika Kama ya Suarez.

Kwahiyo Ni Wazi Kuwa Emre Can ni lazima Ataondoka Liverpool Kwani Moja ya Sharti lake la Kusaini Mkataba mpya ni Kuwa aekewe Kipengele hicho katika Mkataba mpya jambo ambali FSG hawako tayari.
Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.
 
"My agent is looking after everything but I am here until the summer. I haven't signed anything (with Juventus) or anyone," - EMRE CAN

Bado tuna nafasi ya kumshawishi Can abaki kwa io tuwe watulivu huenda tusimpoteze
 
Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.

Mchezaji Ukishamuekea Kipengele cha "Release Clause" unakuwa Huwezi Kumcontrol tena na Mamlaka Yako Kwake ni Madogo Sana Kwani Anakuwa na Mamlaka kamili ya Kujiuza mwenye Bila ya Kuishirikisha Timu Hata kidogo! Si unaona Kilichotutokea Kwa Suarez! Au Kilichowatokea Barcelona Kwa Neymar! Au Tulichowafanyia RB Leipzig kwa Keita!!!

Sasa Liverpool Hawataki tena kuingiza Kipengele Hicho Katika Mikataba ya Wachezaji ili wasije wakawa na mamlaka ya Kujiuza Wenyewe kama Neymar au Suarez au Nabby Keita.

Timu Kama Real Madrid inaweka Kipengele cha "Release Clause" Kwa Wachezaji lakini Kinakuwa na Thamani ambayo Mchezaji Hanunuliki!

Kwa mfano Benzema Release Clause Yake ni €1000m, Rinaldo €1000m na Bale €1000m kwahiyo Timu haziwezi kuwanunua Kwa Kipengele hicho...

Lakini Kwa Upande Wa EMRE CAN wakala wake anataka lazima Aekewe Kipengele cha "Release Clause" kisichozidi thamani ya £85m na Mshahara Wa £120K jambo ambalo Liverpool imekataa....

Na sababu Ya Kukataa wanaona Kuwa CAN bado umri wake ni Mdogo, Kwahiyo wanachelea Kuja akaongezeka Kipaji ikisha akaja akachukuliwa Kiubwete kwa £85m wakati anakula £120K za watu
.
 
Kwani wakikubali kuweka hicho kipengele shida iko wapi? Yaani kumuachia mchezaji mdogo kiumri kama CAN halafu ni jembe haswa, inaniumiza sana. Hope they will sort it out soon.
Release Clause ina maana CAN akitaka kuondoka saa na siku yyt ktk window tunakuwa hatuna nguvu!
Nakubaliana na KLOPP kama anataka kiwepo hicho kipengele ni bora aondoke mapema tutafute mwingine!
Ukiweka hicho kipengele hata bei ya kumuuza haitafuata nguvu ya soko sababu hata kama team moja tu ndiyo inamtaka biashara ya bila ushindani lzm ifanyike!
Juzi CAN kaupiga mpira mwingi sana lkn hatuna namna labda mwenyewe aamue kukubali kutoa hicho kipengele!
Zaidi ya hapo namtakia mafanikio mema huko Juventus
Lallana OX Wilj
 
"My agent is looking after everything but I am here until the summer. I haven't signed anything (with Juventus) or anyone," - EMRE CAN

Bado tuna nafasi ya kumshawishi Can abaki kwa io tuwe watulivu huenda tusimpoteze

Huyu Kitu Kimoja Kilichomfanya Asisajili Mkataba Wa awali na Juventus ni Kuwa Wamefikia wamlipe £85m jambo ambalo Hata Liverpool Wanaweza Kumlipa!

Kwahiyo njia Moja ya Kumshawishi CAN ni Kuwa Tushinde Japo Kombe Moja Hata kama ni FA.
 
LFC in Premier League This Season:

With Phil Coutinho:
Games: 14
✅ Wins: 6
Drawn: 7
❌ Lost: 1
Points Per Game: 1.8

Without Phil Coutinho:
Games: 9
✅ Wins: 7
Drawn: 1
❌ Lost: 1
Points Per Game: 2.4

Sasa hapo shida iko wapo Hata Mashabiki Wakalilia Replacement Yake wakati tunapeta Vizuri tu?
 
Siku ya tarehe 29 March 2014 Firmino Aliisimamisha Record ya Pep Guardiola Ya Bayern ya Kutokufungwa Michezo 19 Baada ya Yeye Kufunga Goli.

Na January 15, 2018 Firmino ameisimamisha Record ya Pep Guardiola ya Man City kutokufungwa Michezo 22
baada Ya Yeye kufunga Goli.

Firmino is Pep nightmare 😀 😀 😀
 
Klopp on Coutinho:

“I am sure he was jumping in his living room in Barcelona, but it is important we showed we can play without him and we did that. It is a very important statement. We got the 3 points in a very important moment. Now we have a long week to prepare for Swansea.”
 
26229674_2028017167475767_8390780187501084559_n.jpg
 
Andy Robertson (23) vs Man City won more tackles (7) & made more clearances (7) than any other player on the pitch at Anfield.
Outstanding performance.
 
Mohamed Salah's 24 goals this season has equalled Daniel Sturridge & Steven Gerrard's ever best goals tally's for Liverpool.
It's still only January
 
Goals Scored This Season:

Roberto Firmino: ️⚽ 17
Romelu Lukaku: ️⚽ 15
Álvaro Morata: ️⚽ 12
Gabriel Jesus: ️⚽ 10
Alexandre Lacazette: ️⚽ 8

Still Brazil Media called Gabriel Jesus New Ronaldo and He Should play for the World Cup as Striker and not Firmino
 
Kitendo Cha Jürgen Klopp Kutangaza Rasmi Kuwa Loris Karius Ndiye Kipa Wake Namba Moja na Si Mignolet tena sio siri Kinanipa Headache!!
 
Katika Makipa Ambao Liverpool imewatarget Hapo Summer ni Yule Wa Atletico Madrid [HASHTAG]#Oblak[/HASHTAG] na Yule Wa AS Roma [HASHTAG]#Alisson[/HASHTAG].

[HASHTAG]#Oblack[/HASHTAG] ana Buy-ou-Clause ya €100m = £89m ....
[HASHTAG]#Alisson[/HASHTAG] hana buy-ou-clause lakini thamani Yake Roma wameshaiongeza Mpaka kufikia £44m na yasemekana wanampango Wa Kuongeza Zaidi ili kufudia Mo Salah Coz wanahisi wamekula Hasara Kwani thamani Yake kwasasa inazidi £100m+

[HASHTAG]#Oblak[/HASHTAG] ni Mzuri Zaidi na rahisi kupatikaba bila ya Kufanya mazungumzo na Timu Yake Kwa sababu ya buy-out-clause lakini €100m ???????? This is too much.
 
Tulicheza Mechi na Everton! Baada ya Mechi Klopp Huwa ana post-match press conference na kufanya analysis ya Mchezaji ikiwepo Kutangaza Majeruhi.

Lakini Baada ya Mechi hii ya Everton Klopp hakusema Chochote Kuhusu [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] Kuwa Ni Majeruhi.

Na tulimshuhudia huyu VVD katika viwanja Vya [HASHTAG]#Melwood[/HASHTAG] akifanya Mazoezi na Wachezaji wenziwe bila ya Majeruhi yoyote kwa siku zote.

Na Mpaka Kufikia Tarehe 13 January Wengi tulishuhudia [HASHTAG]#Live[/HASHTAG] VVD akifanya Mahojiano na Carragher akiwa ni Mzima bila ya injury yoyote.

Lakini Cha Kushangaza Siku ya tarehe 14 January ambayo tulicheza na Man City Klopp alitangaza Kuwa VVD ni Mgonjwa aliumia Siku ya Game na Everton!!!!

Swali: Ni kwanini siku Zote hakutangaza Kuwa injury Mpaka siku ya Mechi na Man Mancity?
Mbona alikuwa akifanya Mazoezi na Kikosi Kikamilifu?

Mawazo yangu: VVD alikuwa Mzima na Hana injury yoyote! ila Nadhani Bodi Ya Liverpool ilikaa na Klopp wakahisi Kuwa Mechi ya Man City na Liverpool itajaa Pressure na Mashabiki Kumuangalia VVD atafanya Nini! Kwahiyo itakapotokezea Liverpool kupoteza Mchezo huo na kutokana na thamani Kubwa waliyomnunulia ingelikuwa ni Pressure Kubwa Kutoka kwa [HASHTAG]#Mashabiki[/HASHTAG], [HASHTAG]#Media[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Pundits[/HASHTAG].

Kwahiyo wakaamua kutomchezesha! Lakini ilivyokuwa Tumeshinda I don't Care kwa Maamuzi yao...
 
Mchezaji Ukishamuekea Kipengele cha "Release Clause" unakuwa Huwezi Kumcontrol tena na Mamlaka Yako Kwake ni Madogo Sana Kwani Anakuwa na Mamlaka kamili ya Kujiuza mwenye Bila ya Kuishirikisha Timu Hata kidogo! Si unaona Kilichotutokea Kwa Suarez! Au Kilichowatokea Barcelona Kwa Neymar! Au Tulichowafanyia RB Leipzig kwa Keita!!!

Sasa Liverpool Hawataki tena kuingiza Kipengele Hicho Katika Mikataba ya Wachezaji ili wasije wakawa na mamlaka ya Kujiuza Wenyewe kama Neymar au Suarez au Nabby Keita.

Timu Kama Real Madrid inaweka Kipengele cha "Release Clause" Kwa Wachezaji lakini Kinakuwa na Thamani ambayo Mchezaji Hanunuliki!

Kwa mfano Benzema Release Clause Yake ni €1000m, Rinaldo €1000m na Bale €1000m kwahiyo Timu haziwezi kuwanunua Kwa Kipengele hicho...

Lakini Kwa Upande Wa EMRE CAN wakala wake anataka lazima Aekewe Kipengele cha "Release Clause" kisichozidi thamani ya £85m na Mshahara Wa £120K jambo ambalo Liverpool imekataa....

Na sababu Ya Kukataa wanaona Kuwa CAN bado umri wake ni Mdogo, Kwahiyo wanachelea Kuja akaongezeka Kipaji ikisha akaja akachukuliwa Kiubwete kwa £85m wakati anakula £120K za watu
.
Mimi bado sioni shida yeyote hapo, kwani hiyo 85M ni ndogo? Huyo dogo bado anaipenda timu, wao waweke hicho kipengele dogo aendelee kucheza soka Anfield!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom