Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Game Ya Jana imeprove Kuwa Midfield Yetu inaweza Kupress Vizuri Zaidi bila Ya Hata Kuwemo Coutinho! Je bado yupo aliye na wasiwasi na Hilo?
Agreed!!!!
Tetesi
Liverpool wapo tayari kupambana na Manchester City na Manchester United katika kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 29. (Sunday Mirror)
Miaka 29?????
Ni Rumors za Media tu lakini Klopp hana plan ya Kusajili Wazee kama Huyu!!! Kwanza Kesha Huyu Hamna Kitu tena ni mzigo tu na wala hatufai.
Mkuu nikisema nifukue post za nyuma utaaibika sana hasa suala la coutinho ulivyokua unapanic na kusema udaku wa media. Tulia,wenye timu ndo wanaamua uzee wa wachezaji na sio mashabiki.
Kwa swala la Coutinho nilikuwa nipo Sahihi Kwa sababu alikuwa Yupo Katikati ya Mazungumzo na Liverpool!
Angelikuwa alikataa mazungumzo na Timu kama alivyokataa Sanchez, Ozil na Can hapo nisingekuwa sahihi..
So, bado nasimamia hoja yangu!
Na kama ulinisoma Vizuri nilichokuwa nakolipinga Mimi ni Media rumors Kwani Hawakuwa Wakitoa Official news kutoka vyanzo Vya Club Bali ni Wavumishaji tu..